Wazazi mnawaharibu watoto wenu bila kujua.

MLALUKO JR

JF-Expert Member
May 3, 2015
962
305
Habarini wanaMMU na wazazi pia walezi kwa ujumla.

Napenda kuwakumbusha kuwa katabia ka baadhi ya wazazi au walezi kulala kitanda kimoja na watoto wadogo (sio kufanya nao mapenzi) huku wao kama watu wazima wanaendeleza kufanya mapenzi wakijua watoto hao wamelala.
La hasha!wanakuwa hawajalala na wanaendelea kuangalia video ya bure Usiku mzima.

Hii nimekuja kujua baada ya binti mmoja mwanafunzi wa chuo kikuu kuwa aliwahi kwnda kuwatembelea shangazi na Mjomba akiwa kipindi hcho darasa la pili hivi(9 yrs),ilipofka ucku Mjomba na shangazi wakaendelea kufanya kumbe mtoto huyo anashuhudia video mwanzo mwisho.

My take:Wazazi msipende kuwalaza watoto chumba kimoja nanyi kama mnajua Usiku Movie lazima ioneshwe,Mnawaharibu watoto wenu.
Mtoto akiona atapenda kujaribu aone KULIKONI mlifanya vile na mnajickiaje au mnafurahia nini mfanyapo???
Maoni yako Muhimu.
 
Back
Top Bottom