Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 55,986
- Thread starter
- #81
hii imetokea hii Mzazi hajui mwanawe alipo anaulizwa unakaa na mkeo Nyumba moja anajibu wameachana sasa kwa mwenzio wakujua anajibu hakujui ht namba ya simu ya mama watoto wake hanaa!unatamani umpige aseeh!Kuna wakati unazungumza na mzazi unatamani yeye ndio umchape viboko. Tunapaswa kuangalia tulipoanguka kama wazazi.
Sent using Jamii Forums mobile app