Wazazi kuweni chunguzeni watoto wenu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazazi kuweni chunguzeni watoto wenu...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by MwanajamiiOne, Jun 23, 2009.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Jun 23, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nimeikuta hii kwenye blog ya Dina wa Clouds FM.

  Kama hali hii ni kweli si tutajikuta miaka ijayo tunalo Taifa la mashoga?! Jamani tuwe makini

  WAZAZI JAMANI ANGALIENI WATOTO, ONGEENI NA WATOTO HALI NI MBAYA...

  SIKILIZA HII JAMANI.  Leo jumatatu kwenye kurasa za leo ndani ya leo tena nimesikitika sana baada ya Antonio kusoma habari ambayo ipo kwenye ukurasa wa 4 wa gazeti la Mtanzania ambapo, wanafunzi wa shule ya msingi Ukonga iliyopo manispaa ya ilala kujihusisha na vitendo vya kujamiina hasa watoto wakiume.

  Taarifa hiyo imetolewa na kamati ya utekelezaji ya shule iliyosomwa kwa wazazi katika mkutano uliofanyika shuleni hapo juzi.vTaarifa hiyo ilisema lipo kundi kubwa la watoto wanaojihusisha kwenye mchezo wanaouita "tigo" ambako mvulana hufanya ngono na mvulana mwenzake katika eneo linaliitwa ''chimbo''. Wavulana hao pia huwachukua wasichana wadogo na kufanya nao ngono kinyume cha maumbile hali inayotishia usalama wa wanafunzi hao ilisema taarifa hiyo....

  Jamani hali inatisha sasa.

  Source: Dina Marios Blog
   
 2. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  it has to be a serious case!LOL
   
 3. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Hapa inabidi ichunguzwe hawa watoto wana pata wapi mawazo haya? Lazima zitakuwa influences zinazo wazunguuka ndiyo hufanya watende hivyo. Unaweza kuta huko mitaani wanapo pita au kuishi wameona matendo hayo au wame hadithiana na kuamua kujaribu. The children can't come up with these ideas all by themselves. Hili ni moja la tatizo linalo tokana na jamii inayo wazunguuka.
   
 4. a

  agika JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2009
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 381
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Unasema kweli mkuu, watoto hawawezi ku come up with absurd ideas from no where, kisha jamani uswailini wana vibanda vya kuangalia video wanalipa shilingi hamsini kwa movie hadi shilingi mia na picha zinazooonyeshwa huko ndani only God knows na wateja wao wakubwa ni wanafunzi mpaka wengine hawaendi shule wanaenda kuangalia movie kwenye hivyo vibanda, sasa na yule mwenye kibanda ili kuwavutia watoto anaweka picha za ngono ili waje kwa wingi na yeye aingize pesa mwisho wake ndio huuuu wanaona mambo yasiyofaa na wao wanaenda kupractise...... this is realy sad jamaniii sisi wenye watoto wa kiume tumuombe Mungu awaepushe na haya jamani Roho inauma sana
   
 5. g

  george jimmy Member

  #5
  Jun 23, 2009
  Joined: Jun 3, 2009
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hiyo ni hatari!!!! inabidi uchunguzi ufanyike make hii itapelekea kuwa na watu mashoga kwenye jamii yetu
   
 6. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Advantages and disadvantages of Advanced Science and Technology, advantages zinaweza kuwa nyingi na za kumsaidia binadamu na disanvantages chache za kumbomoa kabisa mwanadamu/vizazi. Sijui wajukuu zetu and our grown ups wataishia wapi??? Kila siku najisikia vibaya. Ila tu ni vema wazazi tukae karibu na watoto wetu sana tangu akiwa mdogo, mfanye rafiki na utajua mambo mengi sana hata ya marafiki zake shuleni, so utajua the kind of shule na mazingira yanayowazunguka, pia hata nyumbani sikubali hg au hb awe na mapenzi makubwa kwa mtoto kushinda wewe kwa sababu kama wanawafanyia mchezo mchafu watoto hawatasema. Kuna hg na hb ambao ni hatari pia kwa watoto, imagine kuna hg mmoja ambaye alibambwa na mama akifanya/kufundisha mtoto wake wa miaka 5 ngono. Mama alizimia alipogutuka na hg akawa ameshakimbia na hakuonekana hadi leo hii. Imagine kama huyo hg na hb wameathirika na HIV???!!! It is sad.
   
Loading...