Wazazi kubadilishiwa watoto baada ya kujifungua | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazazi kubadilishiwa watoto baada ya kujifungua

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kwetunikwetu, May 12, 2009.

 1. Kwetunikwetu

  Kwetunikwetu JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2009
  Joined: Dec 23, 2007
  Messages: 1,544
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Nimesoma hii article kuhusu wazazi kubadilishiwa watoto mara baada ya kujifungua ikanikumbusha hospitali zetu za kibongo! Then nikajiuliza, hapa kwetu mambo yakoje e.g. Mwananyamala, Amani, Temeke etc ambapo purukushani za wazazi zimekuwa haziishi.

  Ore. babies switched at birth meet 56 years later  Nasikia kuna issue za kubadilishiwa deliberately mtoto wa kiume unapewa wa kike i.e. kuna mtu anataka mtoto wa kiume, so ikitokea kajifungua mtoto wa kike,.anacheza dili na manesi wanatafuta mtoto wa kiume toka kwa wazazi wengine then anabadilishiwa. Wakati mwingine imekuwa ni uzembe tu wa manesi, hasa inapotokea wameelemewa na kazi, then wana-lose umakini, unakuta washabadilisha mtoto.

  Duh hii noma...! Manake utata unaanzia kwanza mtoto hafanani na baba wala mama, mnavumilia kujifariji kuwa labda kafanana na mababu. Ngoma inakuja nzito mtoto akianza kukua hata tabia hafanani na yeyote katika familia......!
   
Loading...