Wazazi inakuaje mwanafunzi anapata mimba?

Hata maisha safi wanapata mimba, tena sana tu. Wengi wao wakipata mimba wazazi wanafanya haraka kuzitoa as wapo na "exposure", mtoto anapelekwa Marie Stopes shaaap anapewa ile tablet maarufu mzazi anaomba two days off, baada ya hapo mtoto anarudi shule bila wasi.
kweli kaka ely

My own brand!!
 
Usemayo ni kweli ila hawa wanaiga wapi malezi hayo ya hovyo?!!!
Kuna wazazi wana mambo ya ajabu mpk shetani anawashangaa!!! Yaani huku uswahilin hali ni mbaya kabisa mama analala nje mtoto analeta bwana ndani

My own brand!!
Mimba ni zao la uzinzi,Tunaishi ktk jamii ambayo zinaa inachukuliwa kama jambo la kawaida,Hakuna la kushangaza,hayo ni mavuno ya tulichopanda ktk jamii zetu.
 
Kuna wakati nasita kuwaita watoto wa siku hizi, hasa wa sekondari eti "watoto"
Wanajua mengi,
Wanafanya mengi,
Wanaficha mengi,
Ukichanganya na tabia ya wazazi wa familia jirani kuogopa kumkosoa mtoto wa mwenzio, ndo unakuta mtoto amefanya ya kufanya kiasi huwezi yarekebisha.
 
Na ukimuonya au kumuambia mzazi tabia za mwanawe anasema unamsingizia na ujirani unakufa

My own brand!!
 
Mimba ni zao la uzinzi,Tunaishi ktk jamii ambayo zinaa inachukuliwa kama jambo la kawaida,Hakuna la kushangaza,hayo ni mavuno ya tulichopanda ktk jamii zetu.
Inatia hasira mnoo na kusikitisha!!!

My own brand!!
 
Naomba tujiulize: 1. Je hao wanafunzi wanapenda kiasi gani Masomo? 2.Nini cha maana wakitarajiacho katika mfumo Wa masomo kilicho bora kuliko ngono wadhaniyo ni bora wakati huo? 3. Je wanavutiwa na waitwao wasomi kwa kiasi kipi hasa waonapo waitwao wasomi wakililia ajira kutokana na mfumo Wa elimu kutokuwa rafiki waitwao wasomi kujiajiri ,kuwa wabunifu na hatimae kutoka na vitu vitakavyo inua uchumi binafsi na hatimaye kulipia kodi sahihi kwa serikali ili serikali nayo ijiendeshe vyema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom