Granted Faith
Member
- Jul 4, 2021
- 57
- 292
Wazazi angalieni vijana wenu wanaomaliza vyuo vikuuu wengi wao wamekuwa kero mtaani unakuta wamemaliza vyuo lakini wanaoamua kubaki kutafuta maisha ila wengi wao wamebaki mitaani kuwa kero tuu hakuna la maana wanalofanya zaidi ya kudanga, wizi na kuchonganisha ndoa za watu wazazi jitahidini kuwa karibu na watoto wenu wakimaliza masomo warudi nyumbani watafute issue ya kufanya kuliko kubaki sehemu alipomaliza chuo na kuishia kufanya vitu vya ajabu na kuwa kero kwa jamiii
Sijui kwanini wazazi wa siku hizi hawako responsible na watoto wao kiasi kwamba watoto wanafanya mambo ya ajabu mtaani
Mzazi akishaona mwanae kamaliza chuo basi hahangaiki nae tena anamuacha ahangaike na maisha bila kujua anafanya nini au anapitia nini very sad