wazaramo kwa hili hata Mungu amewasamehe... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wazaramo kwa hili hata Mungu amewasamehe...

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Gang Chomba, Sep 29, 2012.

 1. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  majuzi kati wazaramo waliokuwa kwenye maandamano yasiyohitaji Kibali yaani mchakamchaka wa Ngoma waliokuwa wamekusanya waZalendo toka maeneo ya Msanga, Manelomango, Malumbo, Masaki B, Panga la Mwingereza na kwengineko walimkamata mwizi.

  Na kilichotokea baada ya hapo hawakumpiga wala kumpa adhabu yoyote bali walimsema, walimchamba mpaka mwizi wa watu akapatwa na umauti kisha wazaramo wakaendelea na pilika ya ngoma na kuiacha maiti palepale
   
 2. ThePromise

  ThePromise JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 212
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha haaaaa,jamani!kweli kwa wazaramo inawezekana kbs!
   
Loading...