Wazanzibari, website yenu inatia kinyaa

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
Nilikwenda huko kutafuta nakala ya katiba ya Zanzibar, nilichokuta katika mtandao wa serikali (Home - Zanzibar Government) page za kiswahili na kiingereza zikiwa na vichwa vya habari visivyobeba taarifa yoyote. (blank pages) Mwenye katiba ya Zanzibar anisaidie link.

© 2011 Zanzibar Government. All rights are reserved. Updated May 19, 201

Inatia aibu
 
Wizara husika haina wataalamu? Wasiogope kuja Bara kupata utaalamu au consultations
 
Back
Top Bottom