Wazanzibari wawataka CCM bara, Lissu na Zitto na watu wa bara waache kuongelea mambo ya Zanzibar

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,911
51,889
Mida hii niko hapa darajani Zanzibar nakula urojo

Kama kawaida hapa siasa huongelewa hadi basi huku watu wakipata urojo

Wanaongelea mambo ya serikali umoja wa kitaifa Zanzibar wanasema hayo mambo waachiwe wenyewe wazanzibari sababu uchaguzi wa Zanzibar pekee sio wa muungano hivyo sio sahihi viongozi wa bara akina Zitto Kabwe Lisu au CCM bara kuongelea

Zanzibar ni nchi kamili ina Rais wake, tume yao ya uchaguzi, Baraza lao la wawakikishi nk

Wachonga midomo toka bara acheni kujifanya wasemaji wa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar hayo ni yao kikatiba viongozi wa vyama kule Zanzibar ndio watakiwa kuongelea
 
Wazanzibari mambo yao yasiingiliwe na vibaraka wa mabeberu.

Maalim mwenyewe keshalainika.
 
Kuzihukumu siasa za Zanzibar Kwa kutumia formula za Tanganyika utapotea mbali sana.

Uliwahi kusikia kuna kiongozi kaunga juhudi znz
 
Mizigo ya LUMUMBA...HALIJILUI HATA LILICHOANDIKA.

Mwalimu Nyerere alituasa sana kuepuka dhambi ya Ubaguzi.
"sisi wazanzibar wao watanganyika Tutafika mbali na kwenda wao waunguja sisi wapemba"

HAKUNA DHAMBI MBAYA KAMA DHAMBI YA UBAGUZI.
 
Mida hii niko hapa darajani Zanzibar nakula urojo

Kama kawaida hapa siasa huongelewa hadi basi huku watu wakipata urojo

Wanaongelea mambo ya serikali umoja wa kitaifa Zanzibar wanasema hayo mambo waachiwe wenyewe wazanzibari sababu uchaguzi wa Zanzibar pekee sio wa muungano hivyo sio sahihi viongozi wa bara akina Zitto Kabwe Lisu au CCM bara kuongelea

Zanzibar ni nchi kamili ina raisi wake,tume yao ya uchaguzi, Baraza lao la wawakikishi nk

Wachonga midomo toka bara acheni kujifanya wasemaji wa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar hayo ni yao kikatiba viongozi wa vyama kule Zanzibar ndio watakiwa kuongelea
Poleee
 
Mida hii niko hapa darajani Zanzibar nakula urojo

Kama kawaida hapa siasa huongelewa hadi basi huku watu wakipata urojo

Wanaongelea mambo ya serikali umoja wa kitaifa Zanzibar wanasema hayo mambo waachiwe wenyewe wazanzibari sababu uchaguzi wa Zanzibar pekee sio wa muungano hivyo sio sahihi viongozi wa bara akina Zitto Kabwe Lisu au CCM bara kuongelea

Zanzibar ni nchi kamili ina Rais wake, tume yao ya uchaguzi, Baraza lao la wawakikishi nk

Wachonga midomo toka bara acheni kujifanya wasemaji wa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar hayo ni yao kikatiba viongozi wa vyama kule Zanzibar ndio watakiwa kuongelea
Wako sahihi
 
Hawana lolote hao bali ni mpanga wa Seif na genge lake wabaki huru kushiriki SUK.
 
Watu tuna uhuru wa kuiongelea nchi yoyote duniani achilia mbali zanzibar.

Usahihi wake ni upi.

Tumemwongelea Trump kwani Marekani siyo nchi huru?

Visirani tu.
Zitto Kabwe na Lisu waliongelea msimamo wa vyama kuwa hakuna kushiriki serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar wakati wao sio wazanzibari wala wapiga kura wa Zanzibar
 
Vipi mbona Hussein Mwinyi amepigiwa kura na wajumbe wa CCM kutoka bara?
 
Mida hii niko hapa darajani Zanzibar nakula urojo

Kama kawaida hapa siasa huongelewa hadi basi huku watu wakipata urojo

Wanaongelea mambo ya serikali umoja wa kitaifa Zanzibar wanasema hayo mambo waachiwe wenyewe wazanzibari sababu uchaguzi wa Zanzibar pekee sio wa muungano hivyo sio sahihi viongozi wa bara akina Zitto Kabwe Lisu au CCM bara kuongelea

Zanzibar ni nchi kamili ina Rais wake, tume yao ya uchaguzi, Baraza lao la wawakikishi nk

Wachonga midomo toka bara acheni kujifanya wasemaji wa serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar hayo ni yao kikatiba viongozi wa vyama kule Zanzibar ndio watakiwa kuongelea
Rais wao ametoka Mkuranga na amechaguliwa Dodoma.
 
Acha ufamba,majina matano ndio yalitoka zanzibar kwenda Dodoma kupigiwa kura na wajumbe wa NEC!
Mwinyi amepatikana Dodoma na sio Zanzibar!
Kura za uraisi uchaguzi Zanzibar kapigiwa na watu wa bara?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom