Wazanzibari wapenda mabadiliko kutoka utawala wa dhulma kuelekea katika uongozi wa haki na heshima, tutoke tupambane, muda ni sasa!

Sio mara yangu ya kwanza kusikiliza klip hiyo brother

Nimekuuliza Kwanini uitaje katholic hali ukijua hilo ni dhehebu la dini na sio serkali ?
Maoni ya mtu mmoja ?? umeisikiliza vizuri ?? clip ya dakika 14 umekuja na majibu hata dakika 3 hazifiki ??
 
Sio mara yangu ya kwanza kusikiliza klip hiyo brother

Nimekuuliza Kwanini uitaje katholic hali ukijua hilo ni dhehebu la dini na sio serkali ?

Ndio nikajua kuwa hujaisikiliza , kwani kama ulisikiliza au ulisoma kitabu cha Peter smith usingalikuja na hayo maswali

Maneno ya wazee wa Kanisa lako hilo

..(Watu) hawa ni wa kupingwa kwa njia zote na kwa kila hali. Maana, hata kama wanasema lililo kweli, hata hivyo, yule aipendae kweli asikubaliane nao. kwani si (vitu) vyote vilivyo kweli ndiyo kweli. Wala ile kweli inapoonekana (tu) kuwa ni kweli kwa mujibu wa maoni ya wanaadamu isichukuliwe badala ya kweli iliyo kweli, ambayo ndiyo ile iliyo kwa mujibu wa imani."

Askofu Clement wa Alexandria (c.AD 150-215) alisema katika barua aliyomuandikia mwanafunzi wake (aliyeitwa The Odore) katika kuikanusah Injili ya siri ya Marko ("Secret Gospel" kilichoandikwa na Profesa Morton Smith wa Chuo Kikuu cha Columbia).

"Ili tuweze kuifikia kweli katika vitu vyote, lazima siku zote tuwe tayari kuamini kuwa kile kinachoonekana kwetu kuwa ni cheupe, ni cheusi, kama uongozi wa kanisa unaelekeza hivyo." St. Ignatius Loyola, muasisi wa Taasisi ya Kijesuit ya Kanisa Katoliki, ameagiza katika kitabu chake "Spiritual Exercises."
 
Mkuu ndio maana Nakuambia still hayo ni maoni ya mtu mmoja

Km wewe hapo leo unavyoamini kuwa Muungano sio halali ila kuna wazanzibar wengi wanaimani na muungano

Maoni ya mtu mmoja yasichukuliwe km mtizamo wa jumuiya fulani huu ni uonevu mbaya sana

Hiyo conspiracy inayohusu u Catholic haiwezi kuwa kweli hata siku moja

Muungano wetu unalindwa na kudumishwa na udugu wetu na sio vinginevyo

Mimi nakuambia km sio udugu wetu muungano huu usingekuwepo hivyo hivyo udugu wetu utaudumisha huu muungano wetu millele na daima

maelezo marefu hayana point vita kuuubwa harakati kibao kumbe mbio za sakafuni zaishia mdomoni mwa Jecha peke yake yakhe apuliza kipyenga bila marefa wasaidizi priiiiiii, priii Goooooooooal, ni CCM tena yaibuka kidedea!!! asietaka muungano ajiue au arudi kwao Oman!! hivi Karume si Mnyamwezi kweli yule?

nafikiri FFU wana hamu hawajapiga wazenji wakorofi siku nyingi achilia mbali JWTZ wana usongo balaa! yakhe kwani mapembe mbona kibao sana , machogo wachache tukija Zenj twawamalizia mapembe yote toka Kojani na Tumbatu na Mfereji wa Wima na Jambiani na Bu bu bu?

huu muungani ni rahisi sana kuuvunja kwanza ni kupata hati ya muungano na kuisoma , hati hii iko chini ya ardhi maili tatu kutoka usawa wa bahari, ni highly sensitive document, wewe mtoa mada siku ukiweza kuiona unaweza kupofuka) , pili ni kuwafufua tu waasisi waamke wakae kitako na Gahawa na Halua pembeni wavunje muungano kisha tatu ni kuchukua ule mchanga wa bara na visiwani uliochanganywa na kuutenganisha muungano chali!!
 
Mkuu ndio maana Nakuambia still hayo ni maoni ya mtu mmoja

Km wewe hapo leo unavyoamini kuwa Muungano sio halali ila kuna wazanzibar wengi wanaimani na muungano

Maoni ya mtu mmoja yasichukuliwe km mtizamo wa jumuiya fulani huu ni uonevu mbaya sana

Hiyo conspiracy inayohusu u Catholic haiwezi kuwa kweli hata siku moja

Muungano wetu unalindwa na kudumishwa na udugu wetu na sio vinginevyo

Mimi nakuambia km sio udugu wetu muungano huu usingekuwepo hivyo hivyo udugu wetu utaudumisha huu muungano wetu millele na daima

Maoni ya mtu mmoja na hii ni conspiray ???

Kardinali Pengo: Muungano si bahati nasibu

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka waamini na wananchi kwa ujumla kutambua kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar si jambo la bahati nasibu.

Kardinali Pengo ameyasema hayo ofisini kwake hivi karibuni alipoitisha vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki kuzungumzia pamoja na mambo mengine ongezeko la Parokia mpya jimboni kwake pamoja na mabadiliko kwa Maparoko na Maparoko Wasaidizi katika baadhi ya Parokia jimboni humo.

Asemema suala la Muungano linapaswa kuchukuliwa kwa uzito wa pekee kwa kila Mtanzania hasa waamini Wakatoliki na kwamba kila mwamini anapaswa kutambua kuwa amepewa jukumu na Mwenyezi Mungu kulinda na kuombea Muungano huo.
 
maelezo marefu hayana point vita kuuubwa harakati kibao kumbe mbio za sakafuni zaishia mdomoni mwa Jecha peke yake yakhe apuliza kipyenga bila marefa wasaidizi priiiiiii, ni CCM tena yaibuka kidedea!!! asietaka muungano ajiue au arudi kwao Oman!! hivi Karume si Mnyamwezi kweli yule?

nafikiri FFU wana hamu hawajapiga wazenji wakorofi siku nyingi achilia mbali JWTZ wana usongo balaa! yakhe kwani mapembe mbona kibao sana , machogo wachache tukija Zenj twawamalizia mapembe yote toka Kojani na Tumbatu na Mfereji wa Wima na Jambiani na Bu bu bu?

huu muungani ni rahisi sana kuuvunja ni kuwafufua tu waasisi waamke wakae wavunje muungano kisha kuchukua ule mchanga wa bara na visiwani na kuutenganisha muungano chali!!

Muungano wa kuivamia Zanzibar na kumkamata Waziri Mkuu wake Muhammed Shamte pamoja na baraza lake la Mawaziri na kuwafunga katika jela za Tanganyika kwa zaidi ya miaka 10 bila kuwafikisha mahakamani??

Tena kufanya huo uvamizi kuuboatiza jina la muungano hapo April 26, 1964 huku viongozi wa Zanzibar wakiwa magerezani Tanganyika tokea Januari 12
 
Muungano wa kuivamia Zanzibar na kumkamata Waziri Mkuu wake Muhammed Shamte pamoja na baraza lake la Mawaziri na kuwafunga katika jela za Tanganyika kwa zaidi ya miaka 10 bila kuwafikisha mahakamani??

Tena kufanya huo uvamizi kuubatiza jina la muungano hapo April 6 , 1964 huku viongozi wa Zanzibar wakiwa magerezani Tanganyika tokea Januari 12
nenda mtaani na bendera ukahamasishe wewe na wenzako muupinge muungano!!
 
Angemrudisha vipi wakati Jamhuri ya Zanzibar didn't exist anymore?, kilichomo ni JMT!.
P

umeisoma vipi historia ya Zanzibar mkuu? au umepitia ya Lumumba tu?

Muingereza alikua anauuwezo wa kuyoblock kabisa yale mapinduzi kama angelitaka.
Mapinduzi ya Zanzibar yalikua na Baraka za Muingereza, U.S na Israel
Waingereaz na washirika wake
Waliyataka mapinduzi ya D.R.C
Waliyataka mapinduzi ya Burundi
Waliyataka mapinduzi ya Uganda
Waliyataka mapinduzi ya Zanzibar
na ndio mana yote yalifanyika

Lakini hawakuyataka mapinduzi ya Tanganyika na ndio mana hayakufanikiwa.
 
Hili la Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yalikuwa na baraka za UK, US na Israel, mimi siliafiki, kwasababu Mapinduzi Matukufu yale yalikuwa ni surprise, na yamefanywa kwa ambush, Waingereza wakaleta manowari zao mbio mbio, lakini kabla hazijafika Zanzibar, tukaungana, hivyo zikaishia Mombasa.

Why Waingereza wayatake Mapinduzi ya Zanzibar na halafu wasitake Mapinduzi ya Tannganyika wakati Nyerere alikuwa ni mcommunist wa Pan Africanism?.
P
 
Ni Mnafiq sana huyu
Kwani serikali iliyopinduliwa ni ya mfalme?

Kanisa linakimbia kusema ukweli kuwa serikali iliyopinduliwa ni ya ZNP ikiongozwa na Muhammed Shamte, mpemba wa Ole.
Huyo mfalme mbona Laanatullahi Nyerere alimwekea red carpet akaingia kwenye ndege akaenda uingereza?
Kama ni mwarabu si angalimrudisha huko Oman??
Mbona Muhammed Shamte na baraza lake la mawaziri aliwaweka jela Tanganyika tena kabla ya huo muungano?
 
Hili la Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yalikuwa na baraka za UK, US na Israel, mimi siliafiki, kwasababu Mapinduzi Matukufu yale yalikuwa ni surprise, na yamefanywa kwa ambush, Waingereza wakaleta manowari zao mbio mbio, lakini kabla hazijafika Zanzibar, tukaungana, hivyo zikaishia Mombasa.

Why Waingereza wayatake Mapinduzi ya Zanzibar na halafu wasitake Mapinduzi ya Tannganyika wakati Nyerere alikuwa ni mcommunist wa Pan Africanism?.
P

Mbona mkatoliki umekuwa mwongo kiasi hiki?
Muingereza ndiye aliyekuwa akisimamia ulinzi Zanzibar. Polisi ilikuwa chini yake.
Hakuguswa mzungu yoyote kwenye mapinduzi.

Muungano ni vita vya kidini , kati ya uislamu na ukristo .Vikiongozwa na kanisa Katoliki.

Na ndio ukaona viongozi wa uamsho na waislamu wengi wako jela Tanganyika. Kisa ni muungano kuutoa makosa. Lakini wale wanaojaribu kuusema vibaya lakini si viongozi wa kiislamu huwa wanaachiwa au kupewa vitisho chini kwa chini.
 
Duh...!. Mkuu Jamhuri ya Zanzibar, nimeipenda hii historia ya Zanzibar haswa ulipowazungumza Wazee Wetu, wenye Zanzibar yao hawakuwa na nia ya kurudi nyuma katika mapambano ya kuungoa utawala dhalimu uliokuwa ukiwaonea.

Baada ya ukoloni wa Mreno, kulifuatiwa na ukoloni fulani, ambao Wazee wenye Zanzibar yao, waliwakaribisha jamaa fulani waje kuwasaidia kuwapiga Wareno, na kweli waliwasaidia sana!. Baada tuu ya kuwatoa Wareno, mwaka 1832, walitoka kwao
walihamishia makao yao Zanzibar na kuitwaa Zanzibar kinguvu na kuitawala kimabavu as if Zanzibar ni yao, wameiokota kama embe na haina mwenyewe!.

Mwaka 1884 kwenye ule mkutano wa Berlin, ni wavamizi hawa ndio walituma mwakilishi wao Berlin na kudai Zanzibar ni yao.

Hivyo wakatambuliwa kama ndio wenye Zanzibar, kuanzia kisiwa cha Pate, hadi Mombasa with 10 miles coastal strip!.

Hivyo wavamizi hawa walitambulika rasmi, hivyo enzi ya mkoloni Mjerumani, Zanzibar was not colonised. Baada ya Ujerumani kushindwa vita kuu ya 1, ile 1918, Ujerumani ilinyanganywa makoloni yake yote, hivyo Tanganyika ikakabidhiwa kwa Waingereza, as a trusted colony, hivyo kupitia mkataba wa Hellingoland, au The Zanzibar Treaty, Waingereza wakakubali kuilinda Zanzibar, as a protectorate, Zanzibar ikatakiwa ku surrender zile 10 miles zake za coastal stip in exchange ya kupewa ulinzi.

Mkataba huu ndio ulituletea lile balaa la mpaka wa Ziwa Nyasa. Hivyo Mwingereza hakuwa mkoloni wa Zanzibar.

Ile Desemba 10, mwaka 1963, waliipa Zanzibar uhuru, na kuahidi kuendelea kuwalinda wale wavamizi waliojimilikisha Zanzibar!.

Kwa msio jua huyo mvamizi aliwafanya nini mababu zetu, jikumbushe
Udhalimu wa Waarabu Zanzibar na Pemba: Ndugu zetu waliteswa, hasiwa, bakwa, na kuuawa kinyama - JamiiForums

Kumbe wale Wazee wenye Zanzibar yao wapo, na January 12, 1964, wakafanya mambo kupitia yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar kwa kumfurusha mvamizi yule na kuitwa nchi yao!.

Sasa ili kumzuia Muingereza asije kumrudisha mvamizi, ikawa hamna jinsi bali ni kwa binti Zanzibar kujibebisha, na kukubali kuolewa katika ndoa ya muungano wetu adhimu!. Hivyo sasa tumeungana na kuwa kitu kimoja, kwa chemical process ambapo hakuna tena Tanganyika, wala Jamhuri ya watu wa Zanzibar, zote zimekufa na haziwezi kufufuka tena, kilichopo ni nchi moja ya JMT, ambapo muungano huu adhimu, tutaulinda kwa gharama yoyote kwasababu umeundwa kwa sacrifices za machozi, jasho na damu.

Kufuatia uhuru ule ilikubalika kila aliyepo Zanzibar ni Mzanzibari, hata hao wavamizi wakawa integrated kuhesabika ni Wazanzibari, ila kamwe hawatapewa tena lile tonge!.

Kufuatia wingi wa mazalia ya wavamizi wale, kila kuifanyika uchaguzi, huwa wanashinda lakini hawapewi, kwasababu fulani fulani, hivyo bila ya wao kujua ni kwanini kila siku huwa wanashinda lakini hawapewi, then wataendelea tuu kushiriki na kuishia kula kwa macho, Ikulu wataendelea kufanya kuusikia tuu!.

P

Mkuu asante umenifungua macho kwa andiko lako!
 
Na ndio ukaona viongozi wa uamsho na waislamu wengi wako jela Tanganyika. Kisa ni muungano kuutoa makosa. Lakini wale wanaojaribu kuusema vibaya lakini si viongozi wa kiislamu huwa wanaachiwa au kupewa vitisho chini kwa chini.
Kama unadhani sababu za viongozi wa uamsho kushikiliwa ni kuusema vibaya muungano, pole!. Naomba niishie hapa.
P
 
Mkuu Kishada mbona hili nimelisema wazi kuwa waliombwa kusaidia, na baada ya kukamilisha kazi, what happened?. Sultan Seyyid Said alipohamishia makao yake toka Oman na kuhamia Zanzibar ile mwaka 1832, aliwezaje?, kuna wenyeji aliwakuta, unajua aliwezaje kuvimiliki visiwa vya watu na kuvifanya ni mali yake na chochote kilichomo?. Unajua hata Karl Peters kuimiliki Tanganyika, alisainiana mikataba na wenyeji kina Mangungo, Mwarabu alipoitwa Zanzibar, nani alimpa?.

Nchi imepatikana kwa Mapinduzi Matukufu ya umwagaji damu!, halafu leo kuna mtu anasubiria kuwa atagaiwa nchi kwa kipande cha karatasi
kinachoitwa kura!. Endeleeni kusubiria kukabidhiwa nchi kwa kipande cha karatasi, ila mtasubiri sana!.

Huu ni ukweli mchungu ila ndio ukweli wenyewe, what matters most is not votes casted but the votes counted!.
Poleni!
P
”Nchi imepatikana kwa Mapinduzi Matukufu ya umwagaji damu!, halafu leo kuna mtu anasubiria kuwa atagaiwa nchi kwa kipande cha karatasi
kinachoitwa kura!. Endeleeni kusubiria kukabidhiwa nchi kwa kipande cha karatasi, ila mtasubiri sana!.”
Kama kumwaga damu umeona ni utufu kwako wewe , M/Mungu akuletee utukufu huo kwako au katika familia yako. Uzuri ni kwamba unaelewa kwamba upinzani ndio wanao shinda isipokuwa mkoloni Tanganyika na mkatoliki ndio mnaishikilia Zanzibar kwa maslahi yenu. Lakini naona huwa unajichanganya katika article zako nyengine unasema upinzani Zanzibar hawajawahi kushinda. Wewe jamaa unaonesha una chuki sana na Wazanzibari na waisalamu kwa jumla.
KULE KWETU MAYALLA MAANA YAKE NI NJAA, BAADA YA UCHAGUZI MARA HII TUTAKUPA TONGE.
 
Back
Top Bottom