FAKE NEWS
Member
- Feb 16, 2017
- 59
- 160
Kuna habari kuwa kuna pesa za zanzibar zinazuiliwa na serikali ya Tanganyika. Wao wanadai kuwa wana deserve percentage ya pesa kwenye kuanzisha institutions kama BOT, TANESCO etc na wengine wanasema kuwa wana deserve 11% ya paso la Tanzania na wengine wanasema kuwa wanazuiliwa kwenda kuomba misaada au kuomba investments toka nje mpaka wapiti approval toka Foreign NA Finance Ministries huku Dar/Dodoma
Nimeuliza mikataba ya hii formula iko wapi siioni na sijapewa
sasa kwa nini tusipewe mahesabu ya nana anadai nini na kiasi gani na na kama kuna interest au kuna fine ya kuchelewesha au fidia ili tuelewane