Wazanzibari wana maisha mazuri kuliko watu wa bara

K
Kuna kipimo cha kupima maendeleo ya binadamu, kinaitwa HDI (human development index).

Hiki hupima elimu, umri wa kuishi na kipato cha mtu. Kinapima kuanzia 0 hadi 1.

Tanzania yote kipimo hiki kinasoma 0.529. hii ni chini na ni alama ya umaskini na kutoendelea. Zanzibar kinasoma 0.72 na ni kiwango cha juu kikiashiria maendeleo na utajiri.

Uhalisia wa hiki uko vipi?
kama siyo ccm, hdi ya zanzibar ingekuwa 0.99 au 1.0.
 
Japo wanashika mkia.. wao ndio wanapewa kipaumbele cha ajira na maksi zao mbovu... huku watu wa bara na division one zao wanakosa ajira..

Ukiwa na degree yoyote, pamoja na kitambulisho cha mkazi na cheti cha kuzaliwa cha zanzibar.. kupata ajira ni lazima... maana mashirika yote yaliyo chini za wizara za muungano kama tra, nssf, tanesco, polisi etc yakitangaza nafasi za kazi wazanzibar wana nafasi zao za upendeleo ili kulinda muungano.. kumbuka zanzibar ina watu wachache kama milion moja total population... nafasi za muungano ni nyingi kuliko idadi ya wasomi wao
Kumbe
 
Kwanini inaitwa Tanzania bara, na isiitwe "Tanzania" nnavyojua neno "bara" linatumika kama bara la Asia, Amerika, afrika n.k.

🇦🇷🇦🇷🇦🇷🔥🔥
 
Kuna kipimo cha kupima maendeleo ya binadamu, kinaitwa HDI (human development index).

Hiki hupima elimu, umri wa kuishi na kipato cha mtu. Kinapima kuanzia 0 hadi 1.

Tanzania yote kipimo hiki kinasoma 0.529. hii ni chini na ni alama ya umaskini na kutoendelea. Zanzibar kinasoma 0.72 na ni kiwango cha juu kikiashiria maendeleo na utajiri.

Uhalisia wa hiki uko vipi?
Ni kweli kabisa kwasababu wanatunyonya watu wa Tanzania bara .
 
Kuna watu naona wanajiongelesha eti Zenj ukiwa na degree tu lazma upate ajira

Nimemaliza chuo tangu 2016 mpaka leo cjapata ajira ila wazenj wengi tunaishi na msemo wa "RIZIKI POPOTE" so sio rahisi mtu kubweteka eti asubir ajira ni kujichanganya tu ndo kunatuokoa
 
Wee huku Pemba watu wanashindwa boflo !
Nafahamu sana sheikh, hapo menu kuu ni boflo, supu, chips kwa mishikaki ya kuku zoba, ubwabwa maharage na labda jioni uende darajani ukale ugali samaki/nyama kwa wamama wa tabora hapo.
 
Kuna kipimo cha kupima maendeleo ya binadamu, kinaitwa HDI (human development index).

Hiki hupima elimu, umri wa kuishi na kipato cha mtu. Kinapima kuanzia 0 hadi 1.

Tanzania yote kipimo hiki kinasoma 0.529. hii ni chini na ni alama ya umaskini na kutoendelea. Zanzibar kinasoma 0.72 na ni kiwango cha juu kikiashiria maendeleo na utajiri.

Uhalisia wa hiki uko vipi?
Kwa hiyo koloni letu linafanya vizuri kuliko sisi watawala?
 
Back
Top Bottom