Wazanzibari waisoma namba,wajutia demokrasia

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
Wakaazi wa Zanzibar wapo kwenye mkwamo na mgagaziko mkubwa. Huku wakiwa kwenye giza totoro juu ya sintofahamu ya uchaguzi wa Urais,Wawakilishi na Madiwani,bei ya vyakula nayo yawa pigo lingine. Wanajutia demokrasia.

Taarifa za kuaminika toka Zanzibar zinaonesha kuwa bei za vyakula zimepaa na kufanya maisha ya Wazanzibari kuwa magumu. Kilo ya nyama ya ng'ombe na mbuzi,kwa mfano ni kati ya 12000 na 15000 tofauti na 8000-9000 iliyokuwa mwanzoni.

Bei za vyakula vyote zimepanda maradufu. Kupanda kwa bei kumechagizwa na kupungua kwa bidhaa za vyakula kuingizwa kutoka Tanzania Bara kutokana na hali isiyoeleweka wala kutabirika huko Zanzibar. Wazanzibari ni ndugu zetu,wasaidiwe kisiasa na kiuchumi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Zanzibar ni Koloni la tanganyika, kwa hiyo munaamua kufanya munavyotaka.
Hata lile Jeshi na Vifaru kila Mtaa ni Wanzanzibari pia?
 
Wakaazi wa Zanzibar wapo kwenye mkwamo na mgagaziko mkubwa. Huku wakiwa kwenye giza totoro juu ya sintofahamu ya uchaguzi wa Urais,Wawakilishi na Madiwani,bei ya vyakula nayo yawa pigo lingine. Wanajutia demokrasia.

Taarifa za kuaminika toka Zanzibar zinaonesha kuwa bei za vyakula zimepaa na kufanya maisha ya Wazanzibari kuwa magumu. Kilo ya nyama ya ng'ombe na mbuzi,kwa mfano ni kati ya 12000 na 15000 tofauti na 8000-9000 iliyokuwa mwanzoni.

Bei za vyakula vyote zimepanda maradufu. Kupanda kwa bei kumechagizwa na kupungua kwa bidhaa za vyakula kuingizwa kutoka Tanzania Bara kutokana na hali isiyoeleweka wala kutabirika huko Zanzibar. Wazanzibari ni ndugu zetu,wasaidiwe kisiasa na kiuchumi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam

Who is to blame for all this?I believe you have an answer!
 
Yaani mimi nashangaa mpaka leo kura za Magufuli halali lakini za Maalim Seif haramu na watu walewale waliopiga kura mmhh only in Tanzania.
 
Yaani mimi nashangaa mpaka leo kura za Magufuli halali lakini za Maalim Seif haramu na watu walewale waliopiga kura mmhh only in Tanzania.

Katika siasa
1 + 1 = 2
1+ 1 = 5
1 + 1 = 3
nk
inategemea nani ameshika mpini!!!
 
hii ndio tanzania tunayojaribu kuijenga wenzetu wamekua na nia yakweli ya kumtoa nduli ccm ila huku kwetu tumenyimwa haki yetu na kwa uoga wetu tumeshindwa kuonyesha nguvu ya uma tulionayo tumabaki kulalamika.mungu hatawatupa ndugu zetu wa zanzbar atawavusha na wasimamie chaguo lao wasirudi nyuma.ila ombi langu kwa maalim seifu akipata urais tu chakwanza awape wananch wake fursa ya kutengeneza katiba na ashughulikie mambo ya muungano kama wazanzbar watauona hauna maslah kwao auvunje naamin wakivunja muungano wakawa nch huri yenye mamlaka kamili watakua mbali sana kiuchumi kwa muda mfupi.bora sisi kwakua bado baadh yetu wanaikumbatia bado ccm tubaki na umaskin wetu tukija kuona mafanikio yao tutafanya maamuz magumu kama yao waliofanya sasa ila wazanzbar kuendelea kukumbatia muungano chini ya ccm nikukumbatia umaskin na ulofa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom