Wazanzibari: Rasimu imetupuuza!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Wazanzibari wengi wamesikika wakiiponda Rasimu ya Katiba Mpya iliyozinduliwa jana na Makamu wa Rais,Dr.Mohamed Gharib Bilal. Sehemu kuuw aliyoilenga ni ya uwepo wa Serikali tatu: Serikali ya Jamhuri ya Muungano waTanzania,Serikali ya Tanzania Bara na Serikali ya Zanzibar.

'Tulichotaka ni Zanzibar kuwa na mamlaka kamili na yenye vyombo vyake vyote huru vya dola kama jeshi,polisi na Mahakama.Pia tulitaka,kama kutatakiwa Muungano, basi uwe Muungano wa Mkataba. Serikali tatu hazina maana yoyote kwetu.Hatukusikilizwa.Tumepuuzwa. Hatutakubali' wamesikika wazanzibari mbalimbali walihojiwa na vyombo mbalimbali vya kimataifa kama BBC,DWna VOA jioni hii.

Ni kweli Wazanzibari hawakusikilizwa? Can we dare to let Zanzibar go now?

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam.
 
Let your voices be heard. After all hi ni rasimu na sio katiba. Mchango wako usiishie kijiweni.
 
Kawaida ya sisi watanganyeka ni kudanganwa na kapelo na t shiti na viji pesa vya elfu kumi kumi na tukatoa shukurani sana baadaye tunakwenda kwenye korido na kulalamika maisha magumu kumbe ni upofu wetu wenyewe na ndo maana kila tukilalamika na tukafanya mandamano huwa tunapigwa mabomu na maji ya washa washa na huitwa ni hao ni wahuni ni bora kuwachea ili gurudumu liende na hata wahenga walinena penye kundi la vipofu chongo huwa mfalme .no matusi
 
Ni kweli kabisa Rasimu hii ya katiba imewaongezea Mzigo Wazanzibari.Kwanza,itabidi Wazanzibari waondoke kwenye Idara zote zisizo za Muungano.Pili,Itabidi waanze kulipia gharama zote walizokuwa wakizipata kwa Mgongo wa Muungano.Tatu,Zanzibar itatakiwa iingie gharama ya kuihudumia serikali Kuu ya Muungano na sio kupokea Ruzuku kama ilivyo sasa.Wazanzibari walibipu,tumewapigia.
USHAURI:Napendekeza waikubali hii Rasimu ili iwe njia rahisi ya kujitoa katika Muungano kwa kugoma kuchangia Gharama za Serikali Mpya ya Muungano.
 
Mkuu Buchanan,jambo hilo liko wazi. Lakini,Wazanzibari ni wabishi sana.Sijui itakuwaje?

Wazanzibar siyo wabishi ni ulofa tuu na sasa ni nusu karne hawajijui wanakoenda ni kama bumbuwazi na ukimuwona kijana wa mkoa unguja utasema ni wa mwaka sitini ni bora wazee wao wayavui hayo makoti maana sasa yanawabana sana
 
Last edited by a moderator:
Walitakiwa kuungana na CHADEMA kudai mabadiliko stahiki ya sheria ile ya mabadiliko ya Katiba.

Wao walikuwa busy kuwatukana/kuwadhihaki CHADEMA.

Sijui kama wanafahamu wanachotaka.

AH AH, UMENIKUMBUSHA, SIKU ILE WALIUNGANA NA MZAZI MWENZAO CCM KT KIPINDI CHA MIPASHO NA TAARABU BUNGENI DAT DAY KUWAPONDA CHADEMA HASA WALIPONDA UELEWA WA TUNDU LISU KT MASUALA YA SHERIA, SASA LEO WATATUAMBIA NINI?
NAWASHAURI WATULIE UKU WAMETEGA KALIO VIZUR MPAKA DAWA IHINGIe
AH AH ZBAR NA CUF YAO WALIBERAL KIMENUKA EH?
 
Ni kweli kabisa Rasimu hii ya katiba imewaongezea Mzigo Wazanzibari.Kwanza,itabidi Wazanzibari waondoke kwenye Idara zote zisizo za Muungano.Pili,Itabidi waanze kulipia gharama zote walizokuwa wakizipata kwa Mgongo wa Muungano.Tatu,Zanzibar itatakiwa iingie gharama ya kuihudumia serikali Kuu ya Muungano na sio kupokea Ruzuku kama ilivyo sasa.Wazanzibari walibipu,tumewapigia.
USHAURI:Napendekeza waikubali hii Rasimu ili iwe njia rahisi ya kujitoa katika Muungano kwa kugoma kuchangia Gharama za Serikali Mpya ya Muungano.

FARU DUME UMEELEWEKA VIZURI, KWELI RASIMU IMEWAKALIA VIBAYA WAZBAR, IWAPO ITAPITA HII RASIMU, MAANA YAKE WAZANZIBAR WALIOKO BARA WATAENDA KUAJIRIWA NA SMZ, UMEME WA BARA HAMTAUPATA TENA BURE KM MLIVOZOEA, N.k
DAH WALIBELALI II KITU B4 2015 ITAKUWA ISHAWACHOMA
 
kwangu mie ni muungano wa shirikisho au hakuna muungano.

mambo ya mkataba wakatafute taifa jingine bara no.
 
Walitakiwa kuungana na CHADEMA kudai mabadiliko stahiki ya sheria ile ya mabadiliko ya Katiba.

Wao walikuwa busy kuwatukana/kuwadhihaki CHADEMA.

Sijui kama wanafahamu wanachotaka.

CHADEMA is not everything

sio kila kitu lazima mtu ajiunge au asapoti CHADEMA

wao Wazanzibari wana viongozi wao wanao wasikiliza
hata hilo la muungano wa mkataba limeanzishwa na watu huko Zanzibar
 
Walitakiwa kuungana na CHADEMA kudai mabadiliko stahiki ya sheria ile ya mabadiliko ya Katiba.

Wao walikuwa busy kuwatukana/kuwadhihaki CHADEMA.

Sijui kama wanafahamu wanachotaka.

Hilo ndio tatizo la hawa WAGUNYA. Tabia yao ya SITAKI NATAKA imejaa unafiki mwingi. wakiwa vibarazani oooh tunataka Zanzibar huru. Ndani ya vyombo vya kutunga sheria kimya kabisa. CHADEMA wamewapigia upatu weee, wanajifanya wameziba masikio na Hijab.

Kuguswa kwenye ukweli wa U-LIBERALI weee, utafikiri siafu kaingilia kuku.

Wakati wote mlikuwa wapi msiwaunge mkuno CHADEMA? Tumesha choka na kelele zenu!!
 
Walitakiwa kuungana na CHADEMA kudai mabadiliko stahiki ya sheria ile ya mabadiliko ya Katiba.

Wao walikuwa busy kuwatukana/kuwadhihaki CHADEMA.

Sijui kama wanafahamu wanachotaka.
Hakika hawajui wanataka nini, wamejaa chuki na kiburi tu. Ingefaa watanganyika kuwasaidia kufahamu wanachotaka.
 
Kejeli hazito saidia kuunusuru muungano huu,mnapo jiona watanganyika mawazo yenu ni bora na ya waz'br sio bora hapo itakuwa huo ni muungano au ukoloni?tanganyika bila ya zanzibar inawezekana.
 
Back
Top Bottom