Wazanzibari naombani msaada wenu

Tundu
nitakupa mfano...tajiri kuuona ufalme wa mbinguni ni sawa na ngamia kupita katika TUNDU la sindano.
Lusu
Nihakikishie sitachezea BAN nitakupa maana ya hili neno rhetorically

hahahahaha! lol... hautachezea ban hebu tujulishe maana yake

Tundu

nitakupa mfano...tajiri kuuona ufalme wa mbinguni ni sawa na ngamia kupita katika TUNDU la sindano.

Lusu

Nihakikishie sitachezea BAN nitakupa maana ya hili neno rhetorically

Ni PM, au ban Mtume na nabii Paw anaingilia hadi PM?

Tundu

nitakupa mfano...tajiri kuuona ufalme wa mbinguni ni sawa na ngamia kupita katika TUNDU la sindano.

Lusu

Nihakikishie sitachezea BAN nitakupa maana ya hili neno rhetorically

Ecoli ni neno la Kifaransa likiwa na maana shule au elimu........
Tuelimishe

nini maana ya neno tundu na nenu lusu?

1)TUNDU:ni aina ya shimo ambalo hutokezea upande wa pili.ambapo shimo halitokei upande mwengine.

2)Tundu"ni nyumba ya ndege ambayo hujengewa ndege asitoke,baadhi ya watu hutumia neno"susu"

LUSU:niaina ya matusi ambayo mara nyingi hutukanwa watoto na wazaziwao,kwa mfano: mtoto akiambiwa neno halafu akapuuza alichoambiwa huambiwa neno hilo""LUSU WE"" nikama neno "MMBWA WE". Nafikiria kua Lusu ni kiumbe cha kufikirika kama vile ZIMWI ambacho hakina thamani kwenye utamaduni wa kiswahili kama alivyo mmbwa au ngurue. hizi zilizokoza ni fikra zangu mwenyewe.

Neno lusu nilikuwa silijui kabisa

1)TUNDU:ni aina ya shimo ambalo hutokezea upande wa pili.ambapo shimo halitokei upande mwengine.

2)Tundu"ni nyumba ya ndege ambayo hujengewa ndege asitoke,baadhi ya watu hutumia neno"susu"

3) Tundu ni aina ya ukorofi,Mfano:toto hili tundu(mtoto mtundu) kwakiswahi cha zamani mkorofi.ila kwa kiswahili kibovu inakua kinyume chake Fundi mtundu maanayake ndio hodari huyo.

LUSU:niaina ya matusi ambayo mara nyingi hutukanwa watoto na wazaziwao,kwa mfano: mtoto akiambiwa neno halafu akapuuza alichoambiwa huambiwa neno hilo""LUSU WE"" nikama neno "MMBWA WE". Nafikiria kua Lusu ni kiumbe cha kufikirika kama vile ZIMWI ambacho hakina thamani kwenye utamaduni wa kiswahili kama alivyo mmbwa au ngurue. hizi zilizokoza ni fikra zangu mwenyewe.

tupu umepatia na lusu ni mbwa koko ie wale mbwa chokoraa wasio na mwenyewe!

Pamoja na maana za tundu kama zilivyoelezwa katika Kamusi ya Kiswahili Sanifu, vile vile tundu hutumika kama sifa kwa binadamu.
Mtundu, Utundu humaanisha ukorofi au uhodari. Kumbuka kuwa hata ukorofi unaweza kumaanisha uhodari. Mfano, fundi yule mtundu (mbunifu) sana.
Lusu: 1. Mwizi 2. Mwenye tabia mbaya 3. Habithi

Similar Discussions

Back
Top Bottom