Wazanzibari mnajisikiaje kuona wenzenu wakianza kula maisha?

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
Mambo mazuri hayaji kirahisi lazima u ffight ndio uyapate....na wasudani kusini (zanzibar) wameanza kula maisha (matunda yao) baada ya kutengana na mnyonyaji sudan kaskazini(tanganyika)
picha ni bendera ya sudan kusini ikipandishwa UN kwa mara ya kwanza na kiti chao ndani ya UN


479681.jpg




479602.jpg
 
One day Zenji nayo itajikomboa kutoka kwenye Muungano wa kinafiki uliolazimishwa na nyerere na wafuasi wake wasio itakia mema Zenji.
 
One day Zenji nayo itajikomboa kutoka kwenye Muungano wa kinafiki uliolazimishwa na nyerere na wafuasi wake wasio itakia mema Zenji.
thubutu.. nyerere alisema zambi ya kuvunja muungano itaanzia pale pale mtakapo uvunja .. labda muitoe ccm kwanza
 
Let my people be free! wanzabari ccm imewagawa na kuwatawala! NI WAKATI WAO SASA KUTAMBUA KUWA MWISHO WA KUTAWALIWA NI SASA. perefect ujamaa ideology was myth na CCM kuwa madarakani ni cancer.
 
Tundu Lisu,Ni juzi tu wakati anaichangia hotuba ya maswala ya muungano,nilimnukuu,akisema, "Ifike muda sasa wananchi wa SMZ waulizwe kama wanauhitaji mwungano au la. Na ivo ivo wananchi wa Tanzania Bara waulize kama wanauhitaji mwungano au la. Then majibu ya hao wananchi wa izo serikali mbili kwa pa1 ndo yafanyiwe kazi. ..........LOL.................,je kuna atakayethubutu ku-organise jambo hilo kwa sasa??
 
One day Zenji nayo itajikomboa kutoka kwenye Muungano wa kinafiki uliolazimishwa na nyerere na wafuasi wake wasio itakia mema Zenji.<!-- google_ad_section_end -->


Kwani msijittoe leo? WAko wengi wa Bara hawataki kabisa kuusikia huu muungano.
 
Nimeanza kuamini Mapinduzi wanayo jivunia wazenji hayakuandaliwa na wazenji, nakubali yaliandaliwa na Tito Okelo! Kama yangekuwa yameandaliwa na wazenji wenyewe leo hii wasingekuwa wamekwisha fanya kweli, lakini kwa jinsi walivyo ni kulalamika tu. Jikumbushieni enzi hizo ili muwe kama wasudani kusini!
 
Back
Top Bottom