kurunzi la mbali hilo ...lake Tanganyika maji yameongezeka kina sana sasa hivi.. Hata Zenji hili walitafakari kweliWazanzibar hata hawana taarifa visiwa vyao vinaweza kuzama ndani ya miaka kadhaa ijayo
kurunzi la mbali hilo ...lake Tanganyika maji yameongezeka kina sana sasa hivi.. Hata Zenji hili walitafakari kweliWazanzibar hata hawana taarifa visiwa vyao vinaweza kuzama ndani ya miaka kadhaa ijayo
Jamshid hana meno kule Oman. Serikali ya Oman iliogopa asikimbilie kwao kwa vile yeye ni ukoo wa kifalme alikuwa sultan kwa nchi ambayo ishawahi kuwa na makao makuu ya Oman. Hivo kimantiki alikuwa na tittle kubwa kule kama angeenda. Kwa sasa karuhusiwa kwa vile hana nguvu tena za kuleta hizo claimsHivi karibuni yule Sultan Jamshid aliyepinduliwa Zanzibar na akakimbilia Uingreza na kuishi huko kwa miongo mingi, ameondoka huko na familia yake na kusogea karibu na Zanzibar huko Oman!
Je, kuna uhusiano wowote kati ya kusogea kwake na chokochoko hizi tunazoanza kuziona za Wazanzibari kutaka kuvunja muungano?
Jamshid hana meno kule Oman. Serikali ya Oman iliogopa asikimbilie kwao kwa vile yeye ni ukoo wa kifalme alikuwa sultan kwa nchi ambayo ishawahi kuwa na makao makuu ya Oman. Hivo kimantiki alikuwa na tittle kubwa kule kama angeenda. Kwa sasa karuhusiwa kwa vile hana nguvu tena za kuleta hizo claims
Kilichomfanya mtawala wa sasa wa Oman awe huyu Mswahili nadhani unakijua.Kwani walipompindua walipeleka claims? Mtawala wa sasa wa Oman wana udugu wa karibu sana na yule Jamshid, mfalme wa zamani [ Mtawala wa sasa wa Oman inasemekana aliwahi kuishi Dar kwa muda mrefu!] hivyo you cannot simply discount any machinations that may be in the workings!!!
Naona huyu kamchoka mama.
Hapana atarudi Yemeni mkuuIna maana hawa kina bakharesa watarudi Zanzibar muungano ukivunjika? Niliwahi sikia wawekezaji wengi tu wa bara ni kutoka Zanzibar ni kweli?
Bila ya muungano sijuai watakuwa wanakula mawe? kwa maana zaidi ya ndizi bokoboko hakuna wanacholima hawa akina yakhe, na kikiumana tutamrudisha mzaramo mwenzetu wa Mkuranga aje awe mkuu wa nyumba huku kwao.Huyu Bwana Ally inatakiwa apewe misukosuko.
Haiwezekani sisi tupiganie Muungano yeye akazanie kuuvunja.
Kuna mwakilishi mmoja muhindi ni mfanyabiashara nilimuona juzi huko kwenye bunge lao nae kashupalia kuwa eti wao wanabaguliwa wakifanya biashara na bara eti bara wanawapendelea watu kutoka nje na eti kwao Zenj kumejaa bidhaa za bara wakati bara hakuna biashara za Zenj, kasahau kuwa mianya ya enzi za Salimin Amour amabyo wafanya biashara wakubwa Zenj walitumia kukwepa ushuru kwa kutuingizia michele na sukari ambazo walikuwa hawalipii ushuru na kwa kujifanya tayari imelipiwa huko Zanzibar wakati si kweli, tuwaache wajaze bidhaa kutoka Uarabuni na sisi tubaki na za kwetu tuone nani ataathirka zaidi, hawa jamaa wameanza kupata kibri toka mama awe mkuu wa kaya, wanaongea sana kana kwamba sisi ndio wanufaika na tunawanyonya.Juzi nimecheka sana, eti Zanzibar inaidai Tanzania bara zaid ya 4Trillion😂😂😂.
Daaah
Hapana atarudi Yemeni mkuu
Mliwahi angalau kugoogle kujifunza utumwa umefika lini Zanzibar ? Kusema wazanzibari wote wana asili ya Tanganyika naona kama kuinajisi historia. Nakupeni hint tuu, sehemu ambazo watu wamefika kwa utumwa mfano ni waafrika waliopo pale India, Afrika ya kusini, marekani, nchi za kusini mwa amerika n.k.
fact
Ova
Archeological findings suggest that Islam has been present in the Zanzibar archipelago for more than a millennium. Of the oldest archeological findings are large Friday mosque in Ras Mkumbuu, which has been dated back to the 10th Century,[3] and Kufic inscriptions on the mosque in Kizimkazi dated at A.D. 1106.
Watashughulikiwa kama GazaTukiiwaachia Zanzibar yote itakuwa kambi ya Magaidi.
anademkaHIZO "weye" weye mkivunja muungano ndio hatutazisikia tena ili tubaki na kiswahili kizuri cha wanaume, sio weye weye kama wote tunakula orojo hapa.
kwamba twende zenji kwa visa kama dubai? kwani hata sasahivi hakuna visa unafikiri mlivyo wabaguzi kuna mtanganyika huwa anapenda hata kuja huko? kwanza mapunga wengi huko.
Hizo 10km na sisi 10km zetu zitakuwa wapi.. Ni ujinga kutumia mkataba wa Mwingereza na Mwarabu kuhusu maisha yetu Waafrika
Kwa maana hio point yako nn haswaa, nyie waarabu au wazungu ?!Mliwahi angalau kugoogle kujifunza utumwa umefika lini Zanzibar ? Kusema wazanzibari wote wana asili ya Tanganyika naona kama kuinajisi historia. Nakupeni hint tuu, sehemu ambazo watu wamefika kwa utumwa mfano ni waafrika waliopo pale India, Afrika ya kusini, marekani, nchi za kusini mwa amerika n.k.
Kitu kimoja kina standout, wote unaweza kuona kama maisha yao yalianza wakati wa utumwa. Na iko wazi kihistoria kama wamefika izo sehemu kama wahanga wa utumwa. Ni kinyume chake ukitazama Zanzibar kuna ushahidi wa Archeological uislam umeingia way back. Just by googling Islam in Zanzibar - Wikipedia :
Kipindi hiki hakukua na pirika ya biashara ya utumwa + waarabu kutokea Tanganyika Zanzibar, au watu walienda wenyewe na kujifanya watumwa ? Tumieni akili kidogo kama mnazo, sio kila kitu ni propaganda na siasa uchwara. Hata kutumia logic tuu kama wazanzibari wangetokea Tanganyika basi kungelikuwa na similarity za kitamaduni, mavazi, lugha n.k.
Tukisepa tunamchukua na Mama yetu, sasa nyinyi Rais rabda mmuweke Halima Mdee
kuna mahusiano makubwa kati ya oman na zanzibar QABOOS alipompindua baba yake alikosa wasomi..akaja zanzibar na kuchukua wale waarab wengi na wapemba akawapa uongozi wa kutawala..so yeah hawa watu wanaamini wakiwa huru na mkoloni tanganyika watakula mema ya oman