Wazambia Wamethubutu, Wameweza na Wanasonga Mbele!

LordJustice1

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
2,263
530
Nawapongeza sana Wazambia kwa kutokuogopa kufanya mageuzi kwa kuchagua Rais toka upinzani Mh Michael Sata! Mimi naona hawa jirani zetu kuwa na uelewa mkubwa kwa kuwa si mara ya kwanza kuchagua Rais toka Chama cha Upinzani! Wenzetu hawaogopi kuthubutu, Wamethubutu, Wameweza na Wanasonga Mbele! Tujifunze kutoka kwao!
 
mfano wa ZAMBIA ndo wa kuigwakwani uchaguzi huu umekuwa watulivu sana pamoja na serikali au chama cha dola kimedondoka au kutoka IKULU!BIG UP TO OL ZAMBIANS
 
Ni kweli wamethubutu but it was not easy! Mara Tume ya Uchaguzi idai kompyuta zake zimeingiliewa, mara hivi, mara vile; hadi walipoona dalili za mvua ndipo Rais Banda akakubali, nadhani alimkumbuka Ocampo wa ICC, ikabidi awe muungwangwana.
 
That political milestone so far achieved by our fellow Zambians, haitaishia kwao tu. That political wave will have a sagacious spill over effect to African countries, hususani Tanzania come 2015.............. Bravo Sata and the Zambians kwa kuthubutu na kuweza..... Everything is possible, its a question of DECESIONS and READINESS.
 
Changamoto kwa wananchi wa tanzania kujua kwamba wanaeza thubutu na kuweza
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom