Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

cheupee wa barabara yapili.......au kisosora......au tangamano.....au kwa minchii au chuda...au cheupe wa chumbageni wewe eeeeh au cheupe wa pale makorora.....au wa pale kange...........basi itakuwa cheupe raskazoni etiii sky Eclat
 
Hahaaaa. Huwa tunatia nakshi kidogoo Mtani 😅😅😅😅
Eti Koogwe. Lol. Hatayi kweyi kweyi. Mtani.
Hahaha kweli mtani basi mimi nilikuwa nadhani mkiita koogwe ni kwa kisambaa kumbe ni nakshi tu 😁😁,itabidi unifundishe maneno mawili matatu au unasemaje mtani 😜😜
 
Hahaha kweli mtani basi mimi nilikuwa nadhani mkiita koogwe ni kwa kisambaa kumbe ni nakshi tu 😁😁,itabidi unifundishe maneno mawili matatu au unasemaje mtani 😜😜
Sasa Mtani na wenyeji wako wa TA ni wa kuzaliwa na kuondoka au wa kufikia tu kutokana na mihangaiko ya maisha?
 
Back
Top Bottom