Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Habari zenu wakuu...

Jamani natafuta watu/mtu, ambaye ni mwenyeji wa wilaya ya Pangani iliyopo mkoani Tanga.... Nimependa tubadilishane masuala mawili matatu kidogo, kuhusu eneo hilo la Pangani. (Jinsia yoyote iliyopo tayari, unakaribishwa).

Natanguliza kusema...ASANTENI.
 
IMG_4366.JPG
hii ni barabara ya kumi kutokea MK inn kuelekea msikiti wa ijumaa
 
KORONGWE MOJA asanteh MUNGU kwakunibariki na kuzaliw tanga WALE WOTE WA KORONGWE GONGA LIKE TUJUANE
 
Back
Top Bottom