Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Tanga rahisi kufika ila ngumu kutoka, mwanamke shujaa ni yule anaemdatisha mume hadi ikawa hajielewi hatimaye huhama kwake, hutelekeza mke na watoto na humsahau hadi mama yake. ila uzuri hawatumii nguvu nyie Watanga mungu anawaona. siku ukikataliwa na binti la Tanga basi kaoge mali ya bahari.
 
27 Reactions
Reply
Back
Top Bottom