Wazaliwa wa mkoa wa Tanga tukutane hapa

Nasikitika sijui huu uzi ulinipitaje, lakini ninavyo uenjoy, kumbe nina ndugu zangu wengi sana hapa JF.

Biva Tanga , chanzo cha uhuru na maendeleo Tanganyika
Tena ndugu zako tupo wengi hasa Mkuu. Karibu kwenye uzi wetu wa nyumbani.

Kama upo huko utupe mbili tatu mpya kama zipo.
 
InshaAllah Shadeeya, ni furaha kubwa kujuana na wanatanga wenzangu. Nyumbani ni Gamiani.

Sijui kuna mtu anajua namna hili jina la Ngamiani lilitolewaje?
Sawa Kaka. ๐Ÿ™๐Ÿ™

Mi pia sijajua mpaka leo maana ya chanzo cha jina la Ngamiani. Tusubiri wenye kujua zaidi waje watujuze.
 
Back
Top Bottom