Wazalendo na uzawa

Deghe Mangae

Senior Member
Mar 3, 2020
171
149
Hivi kwa sasa hapa tulipo wapo wazalendo kweli?

Naomba wazawa mnijibu manake naona viongozi wangu hawana ile amsha amsha ya maenndeleo kwa wananchi wao lakini pia kwanini wananchi nao wamekata tamaa tatizo ni nini!!?

Naomba msaada wenu wadau na jamii nzima ya JamiiForums [Angalizo hoja ijibiwe kwa hoja kama huna point kaa kimya] wale wanaosubiri kura 2025 karibuni kwa mchango wenu. Asante
 
Back
Top Bottom