Wayemen waushambulia tena uwanja wa ndege wa kimataifa wa Saudia; mara hii watumia drone tano

Hashimu alikuwa na mwana aitwae abdull Mutallib,sasa huyu ndo babu wa mtume,huyu alikuja kuwa kiongozi mwenye hekima wa ukoo wa banu Hashimu ambao kwa wakarti huo ndo walikuwa custodian wa pale maka,huyu Abdull Mutalib ndo alimrithi hashim,sasa yule abdi shams alikuwa anauchukua ukoo wa hashim kama beef fulan hivi na hiyo chuki ikirithiwa kwa vizazi,huyu alikuja kuwa na mtoto akiitwa umayya,huyu ndo jina lake lilibeba ukoo wa Umawia hapo walikuwa na beef na ukoo wa banu hashim
 
Kwa Mdomo mpana

Hakuna Uislam ndani yao,na Uislam hauwatambui
Duuu, sasa mkuu kama hawautambui uislam inakuwaje na wenyewe wanaenda kuhiji sasa.?

Mana mimi mwanzo nilichokua nafahamu ni kua, Shia na Sunni ni madhebu tu kwenye uislam kama ilivyo kwa ukristo na madehebu yake kama Wasabato, Roman, Anglican, Morovian n.k
 
Abdull mutallib alikuwa na watoto kumi,lakini katika hao kumi wanne ndo walikuja kuwa famous,
1-AbdiAllah-babake mtume,
2-Abu Talib-babake na Ali
3-Hamza-alikuwa hero shujaa katika vita vya kumtetea mtume alipotangaza utume baada ya makureish kumpiga vita mtume,huyu aliuliwa na wana wa Umayya vitani,
4-Abbass-huyu abbas baadae ukoo wake ndo uliongoza caliph,uma wa waislamu kutokea Baghdad,
-enzi za Abbysinia empire,
kwahiyo AbdiAllah alikuwa mwana mpendwa wa Abdi muttalib,na alipokuwa na miaka 17 alimwoa Amina bint wahab wa madina,na walifanikiwa kupata mtoto mmoja Mohamed SAW,
babake na mtume hakuishi sana alikufa miezi 7 tu baada ya ndoa yake na Amina,
lakini tena,Mohamed akiwa na miaka 6 tu alimpoteza mamake na hivyo kubaki yatima,
Babu yake na mtume mzee Abdull Muttalib akamchukua na kumlea,
mzee Abdull Mutallib alipoona siku zake za kuishi ziko ukingoni aliwaita wanae na kuwambia siku zake zimeisha na akiondoka anaacha vitu viwili muhimu anahitaji mtu wa kuvisimamia,
kwanza anaacha cheo cha chief wa banu hashim pia anamwacha Mtoto Mohamed ,mtoto yatima,
 
Hakuna watu wabaya kwa Uislam kwa zama hizi,kama Mashia

Kila Fitna na Uovu katika mataifa ya Kiislam,chanzo ni Shia

Itazame
Syria
Iraq
Yemen
nk

Shia ndio washika vurugu katika kuwaumiza Waislam na Uislam
Waislam mnisahihishe kama nitakua nakosea. Anaeongoza kwa kutetea Wapelestina ni Iran(shia) , na Palestina wengi wao ni Sunni.

Unaposema Shia ndio waleta vurugu sielewi(yawezekana ikawa kweli ukinithibitishia ilo), kabla ya Civil war Syria watu wote walikua na haki sawa bila kujali dini japokua Raisi wa nchi ni lazima awe muislam, lakini ni hao hao Sunni ndio wanataka kumuondoka Assad madarakani kisa tu sio mlengo wao, sasa unaposema wameleta shida Syria sikupati vizuri mkuu..?

Umetaja Iraq pia, unaposema Shia wameleta shida Iraq nashindwa kuelewa sababu walioleta Shida iraq ni ISIS(hawa ni Sunni). Nikiangalia ISIS wengi Sunni, wanaua Shia na Wakristo pia

Bunge la Iran nchi ya Kishia ina watu wote, Shia, Sunni na Wayahudi pia, Lebanon uongozi wa juu wa nchi umeshikwa na Shia, Wakristo na Sunni lakini hakuna shida mbona

JJe mimi nikisema Sunni ndio waleta vurugu nitakua siko sahihi.? Nisahihishe kwenye ilo
 
Katika kikao hicho,watoto wa mzee Abdull Mutallib ,babu wa mtume karibu wote walitaka kuwa kiongozi wa ukoo,hakuna aliejitokeza kumtaka Mohamed,
then ukafuata ukimya mrefu sana,mzee akijaribu kufikiri afanye nini,baada ya mda,akasimaa Ab Talib,huyu alikuwa ni mtoto wa mzee Abdull mutallib,yeye na babake mtume walichangia mama,akasema anajitolea kumchukua mtume na kumlea,huyu Ab Talib baadae ndo alikuja kumzaa Ali,
mzee Abdull Mutallib akamkabidhi Abi Talib Mohamed amlee na pia akamwachia na uchief pia,

sasa fasforward,mtume amekuwa na baadae mlezi wake kapata mtoto Ali Ab Tallib,
mtume alipotangaza utume watu,miongoni mwao katika family ndo walimpiga vita,
watu wa ukoo wa Umayya ambao kimsingi ni ndugu,ndo wakaanza kumpiga vita katika vita vya badri,ukoo wa Umayya walipoteza watu muhimu watatu,hapo sasa uhasama ndo ukashika kazi,mojawapo ya wapinzani wakubwa wa mtume ni Abu sufiyan wa ukoo wa umayya,
baadae mtume alishinda kina suffian wakarudi katika uislamu kumbe sasa uhasama haukuisha,
Fastforward tena,baada ya mtume kufa sasa,kwanza wakahakikisha Ali hawi khalifa,wakati Ali yuko busy na msiba wa mtume wao huku wanachagua khalifa,kiongozi wa waislamu,
fastforward tena ,wana wa umaya wakafaniwa baada ya Uthman wa ukoo wa Umayya kuwa khalifa,baada yake ikafika zamu Ali akawa khalifa,in short wana wa umayya ndo baadae walimwua Ali,
baada ya kifo cha Ali,Muawwia akawa khalifa,na hapa ndo ukoo wa mtume ulipata tabu ,wakaanza kuikimbia hijaz,
mtoto wa Muawwia ,Yazzid ndo alimwua Husein bin Ali ,mjukuu wa mtume,
in short hiyo ni summarize ya mzizi wa fitina
 
Shia vuta ni kuvute

Hapo sasa umejiweka wazi,kama ww ni Shia kindaki ndani

Ila stori yako,haipo sawa kuanzia mwanzo mpaka mwisho

Ila kuwa makini Chief

Hhhhh

Yaani nimesoma,kisha nikabaki kucheka

unajitahidi Chief,ila hujui kitu
Pole sana
Katika kikao hicho,watoto wa mzee Abdull Mutallib ,babu wa mtume karibu wote walitaka kuwa kiongozi wa ukoo,hakuna aliejitokeza kumtaka Mohamed,
then ukafuata ukimya mrefu sana,mzee akijaribu kufikiri afanye nini,baada ya mda,akasimaa Ab Talib,huyu alikuwa ni mtoto wa mzee Abdull mutallib,yeye na babake mtume walichangia mama,akasema anajitolea kumchukua mtume na kumlea,huyu Ab Talib baadae ndo alikuja kumzaa Ali,
mzee Abdull Mutallib akamkabidhi Abi Talib Mohamed amlee na pia akamwachia na uchief pia,

sasa fasforward,mtume amekuwa na baadae mlezi wake kapata mtoto Ali Ab Tallib,
mtume alipotangaza utume watu,miongoni mwao katika family ndo walimpiga vita,
watu wa ukoo wa Umayya ambao kimsingi ni ndugu,ndo wakaanza kumpiga vita katika vita vya badri,ukoo wa Umayya walipoteza watu muhimu watatu,hapo sasa uhasama ndo ukashika kazi,mojawapo ya wapinzani wakubwa wa mtume ni Abu sufiyan wa ukoo wa umayya,
baadae mtume alishinda kina suffian wakarudi katika uislamu kumbe sasa uhasama haukuisha,
Fastforward tena,baada ya mtume kufa sasa,kwanza wakahakikisha Ali hawi khalifa,wakati Ali yuko busy na msiba wa mtume wao huku wanachagua khalifa,kiongozi wa waislamu,
fastforward tena ,wana wa umaya wakafaniwa baada ya Uthman wa ukoo wa Umayya kuwa khalifa,baada yake ikafika zamu Ali akawa khalifa,in short wana wa umayya ndo baadae walimwua Ali,
baada ya kifo cha Ali,Muawwia akawa khalifa,na hapa ndo ukoo wa mtume ulipata tabu ,wakaanza kuikimbia hijaz,
mtoto wa Muawwia ,Yazzid ndo alimwua Husein bin Ali ,mjukuu wa mtume,
in short hiyo ni summarize ya mzizi wa fitina
 
Abdull mutallib alikuwa na watoto kumi,lakini katika hao kumi wanne ndo walikuja kuwa famous,
1-AbdiAllah-babake mtume,
2-Abu Talib-babake na Ali
3-Hamza-alikuwa hero shujaa katika vita vya kumtetea mtume alipotangaza utume baada ya makureish kumpiga vita mtume,huyu aliuliwa na wana wa Umayya vitani,
4-Abbass-huyu abbas baadae ukoo wake ndo uliongoza caliph,uma wa waislamu kutokea Baghdad,
-enzi za Abbysinia empire,
kwahiyo AbdiAllah alikuwa mwana mpendwa wa Abdi muttalib,na alipokuwa na miaka 17 alimwoa Amina bint wahab wa madina,na walifanikiwa kupata mtoto mmoja Mohamed SAW,
babake na mtume hakuishi sana alikufa miezi 7 tu baada ya ndoa yake na Amina,
lakini tena,Mohamed akiwa na miaka 6 tu alimpoteza mamake na hivyo kubaki yatima,
Babu yake na mtume mzee Abdull Muttalib akamchukua na kumlea,
mzee Abdull Mutallib alipoona siku zake za kuishi ziko ukingoni aliwaita wanae na kuwambia siku zake zimeisha na akiondoka anaacha vitu viwili muhimu anahitaji mtu wa kuvisimamia,
kwanza anaacha cheo cha chief wa banu hashim pia anamwacha Mtoto Mohamed ,mtoto yatima,
Inaskitisha sana
 
Katika kikao hicho,watoto wa mzee Abdull Mutallib ,babu wa mtume karibu wote walitaka kuwa kiongozi wa ukoo,hakuna aliejitokeza kumtaka Mohamed,
then ukafuata ukimya mrefu sana,mzee akijaribu kufikiri afanye nini,baada ya mda,akasimaa Ab Talib,huyu alikuwa ni mtoto wa mzee Abdull mutallib,yeye na babake mtume walichangia mama,akasema anajitolea kumchukua mtume na kumlea,huyu Ab Talib baadae ndo alikuja kumzaa Ali,
mzee Abdull Mutallib akamkabidhi Abi Talib Mohamed amlee na pia akamwachia na uchief pia,

sasa fasforward,mtume amekuwa na baadae mlezi wake kapata mtoto Ali Ab Tallib,
mtume alipotangaza utume watu,miongoni mwao katika family ndo walimpiga vita,
watu wa ukoo wa Umayya ambao kimsingi ni ndugu,ndo wakaanza kumpiga vita katika vita vya badri,ukoo wa Umayya walipoteza watu muhimu watatu,hapo sasa uhasama ndo ukashika kazi,mojawapo ya wapinzani wakubwa wa mtume ni Abu sufiyan wa ukoo wa umayya,
baadae mtume alishinda kina suffian wakarudi katika uislamu kumbe sasa uhasama haukuisha,
Fastforward tena,baada ya mtume kufa sasa,kwanza wakahakikisha Ali hawi khalifa,wakati Ali yuko busy na msiba wa mtume wao huku wanachagua khalifa,kiongozi wa waislamu,
fastforward tena ,wana wa umaya wakafaniwa baada ya Uthman wa ukoo wa Umayya kuwa khalifa,baada yake ikafika zamu Ali akawa khalifa,in short wana wa umayya ndo baadae walimwua Ali,
baada ya kifo cha Ali,Muawwia akawa khalifa,na hapa ndo ukoo wa mtume ulipata tabu ,wakaanza kuikimbia hijaz,
mtoto wa Muawwia ,Yazzid ndo alimwua Husein bin Ali ,mjukuu wa mtume,
in short hiyo ni summarize ya mzizi wa fitina
Hatari sana.
Mungu awalaani wote waliowatesa na kuwasumbua kizazi cha mtume saw.
Pamoja na hao wana wa umayya .
 
Shia vuta ni kuvute

Hapo sasa umejiweka wazi,kama ww ni Shia kindaki ndani

Ila stori yako,haipo sawa kuanzia mwanzo mpaka mwisho

Ila kuwa makini Chief
Na wewe lete hoja zako mkuu ili utetee madai yako .
maana huyu elungata ametufungua macho kwa hizi facts alizotoa humu.
 
Back
Top Bottom