Waya wa umeme wa luku, una nini...!!!

Shagiguku

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
407
133
Wadau naomba mnisaidie jambo hili, sisi wateja wa tanesco wa nyegezi kona mwanza tunaotumia mita za luku tumekuwa tukiibiwa nyaya za umeme NYEUSI zinazofungwa kwenye mita za luku na "watu" ambao wanakuja na mavazi ya tanesco pamoja na vifaa vingine vya kitanesco ikiwa ni pamoja na "dabokebeni gari lenye rangi isiyo ya tanesco" tena usiku wa manane.

Je, hizo nyaya NYEUSI zina kitu gani ndani yake hadi ziibiwe hizo tu na zingine kutokuibiwa....???
 
Mmeishawaliana na ofisi zaTANESCO? Kwani unaonyesha dhahiri kwamba una mashaka na watu wanaokuja na mavazi ya shirika husika. Katika enzi hizi za mawasiliano ya kisasa unaibiwa halafu unalalamika jamvini badala ya kuvishirikisha vyombo vya ulinzi.
 
Mmeishawaliana na ofisi zaTANESCO? Kwani unaonyesha dhahiri kwamba una mashaka na watu wanaokuja na mavazi ya shirika husika.



tanesco tumekwisha wataarifu lakini majibu yao ni kuwa, "hao walikuwa wafanyakazi wa tanesco hatuhusiki nao" kibaya zaidi tanesco ukiwaomba wakurudishie umeme wanakutoza 80,000/= hadi 180,000/= ambazo hazina maelezo wala risiti...!!!
 
Back
Top Bottom