Wawili wajeruhiwa katika shambulio la risasi lililotokea karibu na Ikulu ya Guinea. Rais Alpha Konde adaiwa kuwa salama

Africa bhana.....mapinduzi ya kijeshi hayajawahi kuwa suluhu ya matatizo ya hili bara.
 
Huyu Konde ameyataka mwenyewe...Wazee wa kazi naona wamemchoka
.katesa Sana Wapinzani na kuwasweka jela.

.mwaka Jana kashinda kimagumashi Sana Uchaguzi Mkuu

.Mwaka huu kwa kupitia Bunge aliloliweka mfukoni wamepitisha Bajeti ya Nchi na kuongeza maradufu bajeti ya Ikulu na ya Bunge

.Wakati huo akipunguza Sana bajeti ya Vyombo vya Dola na kukata salary zao

.SASA MOTO UMEMUWAKIA NA kwa namna Ufaransa inavyowachomoa Hawa Madikiteta, HUYU NAYE ATAONDOKA KWA KUPINDULIWA NA JESHI

.Kumbuka, Guinea ina utajiri wa Maliasili za Madini nyingi mno ikiwemo Gold, Diamond, Iron Ore, Bauxite n.k Ila WANACHI WAKE HAWAFAIDI KABISA UTAJIRI HUO WA RASLIMALI ZA NCHI.
....
Wanasiasa Ni wapumbavu Sana kwakweli
 
Back
Top Bottom