Wawezaje kufanya urafiki na adui Wa rafiki yako?unless una jambo lako

Lendomz

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
446
381
Kuna mijadala nimeona ikipita humu ya watu tofauti tofauti na wengine kujiapiza mabaya juu ya MTU Fulani!! Lakini kilichowauzi eti ni kauli ya rais juu ya wabunge waliyokuwa wamejipanga kwenda kumwona Lema gerezani!! Lakini nizungumze kidogo na hawa wabunge! Wote mnajua kuwa Lema anatuhumiwa kuota ndoto ya hovyo kabisa ikiashiria uvunjifu Wa Amani!! Sasa huyu MTU kupelekwa gerezani nikuonyesha kuwa ndoto yake imejaa uadui na mwenye kuiota ni adui mpaka pale mahakama itakaposema vinginevyo!! Sasa wewe mbunge unapata wapi ujasiri kwenda kumwona adui Wa rafiki yako?ndugu zanguni tuache siasa za hovyo za kutafuta kiki kupitia siasa za hovyo!!demokrasia tunayozungumza ni ya kusema ukweli kila mahali!! Tuache kumsingizia rais wetu penye ukweli tuseme ukweli!! Kama MTU anaona CCM chini ya rais wetu hana raha ya kuendeleza siasa taka na kuwalagai maskini wataifa hili ni vyema aache ubunge aende kwa kina Lema maana huko kuna Uhuru Wa kusema uongo na kuota ndoto za hovyo!! Kwa nini uishi sehemu ambapo huna Amani? Rais wetu siyo mnafiki anasema yaliyo ya ukweli kweupe kabisa !! Mnatuchanganya sisi wananchi!! Siasa siyo kusema uongo!! Demokrasia siyo kulisha watu uongo!! Tusijifiche kwenye kichaka cha siasa au demokrasia kueneza uovu!!!

Mungu ibariki Tanzania yetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom