Waweza kufuta umaskini kwa internet badala ya kufacebook and the like | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waweza kufuta umaskini kwa internet badala ya kufacebook and the like

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lucchese DeCavalcante, Jan 17, 2011.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Jan 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,465
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Ni kawaida kuwakuta watumiaji wa internet hasa vijana na hata watu wazima na wazee tena maofisini na kwenye simu za mikononi wakifacebook au kuangalia picha za ngono na kupoteza rasili mali muda kwenye mitandao bila tija. Ni vyema tukajikita kutumia muda huo huo kudadisi namna ya kutengeneza hela kwa kujipatia ajira online hebu soma hii stori hapa chini uone ni jinsi gani ya kupata ajira mtandaoni na kujipatia kipato si unajua tena JK na sirikali yake hawana time wara huruma nasi tena...

  [​IMG][​IMG]  Work At Home Mum Makes $7,487/Month Part-Time

  Step 1
  Go to this link, fill out a basic online form and hit submit at Automated Profit Package
  Step 2
  Follow the instructions at Automated Profit Package and set up your account.
  Step 3
  You should receive your first cheque within a week or so. Or you can start to have them wire directly into your bank account. (Your first cheques will be about $500 to $1,500 a week. Then it goes up from there. Depends on how much time you spent on it.)


   
 2. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,540
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 280
  Ifanyie kazi kwanza ukilipya hata cheque ya 200$ njoo uniconvice but be very very careful ....
   
 3. Masaningala

  Masaningala JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 534
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Nimefungua sijaielewa hii. Tueleze kwa kina.
   
 4. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2011
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,479
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kwa wewe kufungua hiyo link wao wanalipwa.
  Nimefanya simple google search - Hapa chini mtu kajibiwa baada ya kuuliza "is it fraud or reality?"


  As you have rightly seen through, this is a scam. Actually, this is now a well-known trick. The scammer creates a fake one-page 'news' site to add legitimacy in selling a package. He / she adds fake comments to the fake article to make it even more credible.

  These sites usually do not appear on Google search results, but the webmasters are usually very careful in putting a disclaimer about their 'products', so they may be OK legally. Google can't go around shutting down people's websites, unless it has a good legal reason to compel the other party to do so.


  For your amusement, soma disclaimer ya hiyo site hapa chini:

  TERMS AND CONDITIONS CAREFULLY READ AND AGREE TO PURCHASE TERMS BELOW BEFORE ORDERING: We are not affiliated in any way with CNN, WebTV, News Channel 7, ABC, NBC, CBS, U.S. News or FOX. CNN, WebTV, News Channel 7, ABC, NBC, CBS, U.S. News, FOX, and Consumer Reports are all registered trademarks of their respective owners. © All trademarks on this web site whether registered or not, are the property of their respective owners. The authors of this web site are not sponsored by or affiliated with any of the third-party trade mark or third-party registered trade mark owners, and make no representations about them, their owners, their products or services.
  It is important to note that this site and the stories depicted above is to be used as an illustrative example of what some individuals have achieved with this/these products. This website, and any page on the website, is based loosely off a true story, but has been modified in multiple ways including, but not limited to: the story, the photos, and the comments. Thus, this blog, and any page on this website, are not to be taken literally or as a non-fiction story. This blog, and the results mentioned on this blog, although achievable for some, are not to be construed as the results that you may achieve on the same routine. I UNDERSTAND THIS WEBSITE IS ONLY ILLUSTRATIVE OF WHAT MIGHT BE ACHIEVABLE FROM USING THIS/THESE PRODUCTS, AND THAT THE STORY DEPICTED ABOVE IS NOT TO BE TAKEN LITERALLY. This page receives compensation for clicks on or purchase of products featured on this site.

   
 5. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #5
  Jan 17, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,202
  Likes Received: 1,969
  Trophy Points: 280
  Kwamba tutumie muda kwenye computer vizuri .... hilo halina shaka na ni ushauri mzuri
  LAKINI ....kwamba kuna fedha za rahisi namna hiyo .... HAPANA! Hao ni matapeli wanataka kuchukua data za watu .... au na wewe uu mmoja wao?
  Kwa kifupi hakuna fedha za bure namna hiyo dunia ya leo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Jan 17, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Be very carefully there are a lot of scammers lakini although sio rahisi kama zamani biashara ambayo ni genuine online kwa sasa na hauhitaji website au blog au product ni kwa kutumia google ADWORDS... hapa ni kwamba wewe utakuwa unatumia affiliate programs na unaadvertise through google kwenye pay per clicks......unanunua keywords kutoka google na haulipi mpaka watu wakiclick tangazo lako information zipo nyingi sana online lakini kwa kuanzia anagalia hii
  http://static.googleusercontent.com/external_content/untrusted_dlcp/www.google.com/en//adwords/insider/Insiders_Guide_to_AdWords.pdf

  I REPEAT ITS NOT EASY AND NOTHING IS EASY...

  Hapa kuna link ya how to make money online without any investments..... (ANGALIZO NATOA HII KAMA EDUCATIONAL TU.... SABABU HATA UKITENGENEZA PESA ITS PEANUTS NA TIME CONSUMED NI KUBWA... ANYWAY JUST FOR FUN AND ITS GOOD TO KNOW http://moneyonline.we.bs/
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jan 17, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,221
  Likes Received: 224
  Trophy Points: 160
  Usije ukadanganyika!!!There is no easy money....mafisadi wenyewe wanapiga kichwa kabla hawajaiba!!!
   
 8. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2011
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  sasa hapo umasikini utauaga vipi hapo
   
 9. m

  mzambia JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 882
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kila mtu atakula kwa jasho lake
   
 10. Easymutant

  Easymutant JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2011
  Joined: Jun 3, 2010
  Messages: 2,540
  Likes Received: 536
  Trophy Points: 280
  For you Lazy jigger,any one can create his/her own disclaimers iwe ni genuine au fake so do it 1st and come up with a proof kwamba umelipwa then tutakuelewa, kumbuka kwamba hakuna pesa ya bwerere ulimwengu wa sasa if someone can earn 1500$ just for using internet unadhani nani angebaki nyuma ? 1500xMadafu=2175000/=madafu ambayo hukatwi nssf wala kulipa kitu unadhani mchezo?
  sitaki kukupinga sana but just try and come back here with a proof..
   
 11. m

  matejoo Member

  #11
  Jan 18, 2011
  Joined: Apr 19, 2008
  Messages: 69
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sidanganyiki!!
   
 12. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,236
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
 13. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,969
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135  WIZI mtupu !!
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Jan 18, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,774
  Likes Received: 504
  Trophy Points: 180
  Nina mashaka.
   
 15. mgen

  mgen JF Bronze Member

  #15
  Jan 18, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 13,941
  Likes Received: 1,389
  Trophy Points: 280
  Hapa ndipo tulipofika waTanganyika akiliaminia ya kupata pesa bila kufanya kazi matokeo yake unashonewa hirizi kwamba inapumua na ukiivaa bila kuvunja masharti utaokota kiroba kimejaa pesa ila masharti ya hirizi hiyo uirudishe mara tu ikiacha kupumua pia pesa utakayo pata urudishe hapa robo kufungua mkoba 200,000/= na gharama ya hirizi 500,000/=

  Kumbe ni hirizi ya chura kashonewa humo kwenye kitamba chekundu, anahangaika kufa na ili asiozee kwenye paja la mkono wako unaambiwa urudishe hirizi mara tu ikiacha kupumua

  Ukiendelea kumsumbua maana pesa hutaziokota, atakwambia kambake mtoto mdogo njia panda! anajua wazi ukifanya hivyo utakamatwa na polisi au uuawe na raia wema ima utafia jera.
  Kwake kero yako ya kuleta ya kuleta imeisha

  TUFANYE KAZI!
   
Loading...