Wawekezaji wengi kutoka nje wamepewa ulaji tu, miradi ni ya mafisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wawekezaji wengi kutoka nje wamepewa ulaji tu, miradi ni ya mafisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Paul Kijoka, Jun 30, 2011.

 1. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #1
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nina haki ya kusema ninavyoamini. Kwakuwa makampuni mengi ya nje yamejionesha kuwa eidha ni mali ya waTZ na viongozi wa CCM naamini pia kuwa waweklezaji wote matapeli kwenye madini na secta mbali mbali nchi ni wezi walioletw na kina ROST TAMU kuwafanyia kazi.

  tujadili
   
 2. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #2
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Tujadili nini wakati hujatoa mfano hata mmoja wa hayo mashirika na wamiliki wake ni akina nani?
   
 3. markach

  markach Senior Member

  #3
  Jun 30, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  hakuna cha kujadili hapo. ebu tupe fact
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwa mfano hili jengo lilipo kona ya haile salasie na chole ni la nani?
  Nanani yuko nyuma yake?
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Huna kalale.
   
Loading...