Wawekezaji wazawa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wawekezaji wazawa

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by TingTing, Dec 30, 2009.

 1. TingTing

  TingTing Member

  #1
  Dec 30, 2009
  Joined: Dec 20, 2009
  Messages: 93
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani hivi serikali ikisaidiwa na Idara husika mbona haiwathamini wawekezaji wadogowadogo ambao ni wazawa??? Kuna watu kadhaa nawafahamu ambao wangependa sana kufanya ma investment Tanzania lakini wakifikilia mikodi mikubwa, mi-requirements ambayo wengi ni vigumu kuifikia pamoja na fees zake wengi wanakata tamaa kweli kweli. Ni lini ambapo mzawa/mzaliwa yeyote yule wa ndani ama nje ya nchi atapewa kipaumbele linapokuja suala la kuwewekeza nchini kwake??? Viongozi wanajiangalia wenyewe tu ili waendeleee kula nchi wenyewe tu kwa matumizi mabaya ya umma wa wananchi kwa faida zao binafsi na familia zao.
   
Loading...