Wawekezaji wanaotukana viongozi wetu,nchi yetu na watanzania tuwafanyaje????? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wawekezaji wanaotukana viongozi wetu,nchi yetu na watanzania tuwafanyaje?????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by big-diamond, Jul 6, 2011.

 1. big-diamond

  big-diamond JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 225
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  Ndugu wana jukwaa, binafsi napenda nieleze dukuduku langu linalonisumbua sana sana! tunao wawekezaji nchi hii ambao wamekuwa wakinyanyasa raia na hata kutukana viongozi wetu tena hadharani na wazi wazi bila hatua zozote kuchukuliwa. Yawezekana ni kweli viongozi wetu wakuu wana madhaifu mengi lakini ni aibu kubwa jamani hivi sisi ni watu wa aina gani??? naomba nitoemifano michache...

  1. Ninae rafiki yangu ambaye anafanya kazi mgodini, siku moja walikuja ma-graduate kuomba kazi katika kubagein mishahara vijana wale wa chuo wakadai ile pesa ni ndogo basi mbele yao yule mzung akatukana matusi makubwa tena kwa kiongozi mkuu wanchi akisema..if u want big salary go to................kikwete, niliposikia hiyo stori niliumia sana.

  2. Nikiwa nasoma habari moja ya mgogoro wa maji ya sumu kuhusu kampuni ya barick(sina reference hapa but this can help) MTANGAZAJI: HAYA NDO MATOKEO YA UWEKEZAJI KATIKA MIGODI NCHINI TANZANIA, mwananchi anasema mbele viongozi wa kijiji jinsi ambavyo kiongozi kaonyesha dharau kubwa kwa kiongozi mkubwa wa nchi

  3. Angalia dharau na ubaguzi unaofanywa na hoteli za kitalii serengeti,zanzibar na hata hapa dar????haya mwisho wake lini???

  4. Huwa najiuliza hivi mheshimiwa raisi huwa hafikishiwi hizi habari?? hivi unajisikiaje kama ww ni kiongozi wa nchi halafu mtu fulani anajiita mwekezaji au anakutukana mbele ya wananchi wako jamani??hivi Mwl Nyerere aliwafanyaje watu wa namna hii?

  Ipo mifano mingi sana sana hiyo ni michache, inauma sana sijui tuwafanyaje hawa??????????????????????????
   
 2. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Saaafi sana wawekezaji! Ukikutana na ndondocha zikamue tu.... utasikia zinabaki zikilia eti "inauma sana.." Nini hiyo inayouma? Na meno imetoa wapi? Sasa kama watu wanajiita ni ma-graduate na wanatukanwa hawafanyi chochote wewe unalete hapa JF ili tufanye nini?
   
 3. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Hiyo anamaanisha kuwa hata Kikwete corrupt
   
Loading...