Wawekezaji wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina ya kampuni zao dawa ninini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wawekezaji wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina ya kampuni zao dawa ninini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kituro, Jan 19, 2011.

 1. k

  kituro Senior Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ndigu katika jf. mie kama raia wa nchi hii huwa najiuliza nini kifanyike ili kuwabana wanaokwepa kodi kwa kubadilisha majina mala kwa mala kama vile airtell, tigo,etc.
  naomba michango yeno wana jf!
   
 2. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #2
  Jan 20, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Sheraton Dar-Royal Palms-......sasa ni Movenpick....wajinga ndio tuliwao!!
   
 3. khayanda

  khayanda JF-Expert Member

  #3
  Jan 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 248
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  WAnaubia na viongozi wetu hivyo hawawezi kufanywa chochote. sisi yetu machoooo, tuombe mungu viongozi wetu wafe tuanze moja
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,226
  Likes Received: 1,412
  Trophy Points: 280
  unauhakika walibadili majina ili kukwepa kodi au ni mtu mwingine alinunua?. Tupe evidence juu ya hilo: no research, no right to speak.
   
 5. A

  Aalim Member

  #5
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nijuavyo mimi Tigo haijawahi kubadilisha jina yenyewe siku zote inaitwa MIC (T) Ltd. Buzz, Mobitel, Tigo hayo ni majina ya kibiashara tu.
   
 6. b

  binti ashura Senior Member

  #6
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  :amen:
   
 7. b

  binti ashura Senior Member

  #7
  Jan 20, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 120
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  nakupongeza kwa kuliona hilo endelea na moyo wa uzalendo.
   
Loading...