kansije Member Sep 16, 2010 50 10 Sep 2, 2011 #1 Naomba kuuliza! Hivi hatuwezi kupata wawekezaji wa kisiasa ili tuibinafsishe hii serikali ya magamba maana imeshindwa kazi. Naomba kuwasilisha
Naomba kuuliza! Hivi hatuwezi kupata wawekezaji wa kisiasa ili tuibinafsishe hii serikali ya magamba maana imeshindwa kazi. Naomba kuwasilisha