Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
UWEKEZAJI wa Wachina nchini Tanzania umelalamikiwa na wananchi kwa watu hao kufanya biashara za rejareja kama vile kuchoma mishikaki, kuuza nguo, simu na vitu vingine mitaani, jambo ambalo linawanyima fursa wenyeji wasio na uwezo wa biashara kubwa.