Wawekezaji Uganda wajenga Gold Refinery kwa Dola milioni 1.5

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,476
39,995
Uganda opens refinery for Congo gold(BBC)


_47782893_congogold226.jpg
Most of the gold in the region comes from the mines of eastern DR Congo

The first gold refinery in Uganda has opened in the capital, Kampala.
The plant will refine gold from the Democratic Republic of Congo and other countries in the region, including Uganda which discovered gold last year.
The $1.5m (£990,000) refinery is operated by the Russian-owned firm Victoria Gold Star and has the capacity to produce at least 10kg of gold a day.
At the opening ceremony, the company's managing director said his aim was to create a legitimate trade in gold.
"We shall require import and export licence for the gold that we shall refine," Yuri Bogoroditskiy is quoted as saying by Uganda's state-run New Vision newspaper.
Correspondents says Uganda's link with gold has often been controversial as it long has been accused of benefiting from the mines in the war-torn east of DR Congo.
The Ugandan army denied allegations that it looted resources during its involvement in DR Congo's five-year war that ended in 2002.
Rebels based in DR Congo continue to be suspected of smuggling gold through Uganda and other neighbouring countries.


My Take:
Sisi mazobo!
 
unaanza na South Africa, kisha Ghana na Tanzania ya tatu kwa kuzalisha gold Afrika. Katika region yetu Tanzania ndiyo ilitakiwa kuwa na gold refinery siku nyingi. Uganda bado hawajaanza hata kuchimba, sisi ndo tunasafirisha mchanga wenye gold. Nakubaliana nawe M.M.M. sisi mazobo loud and clear.
 
hii habari ipo somewhere humu jf,in short hata wakenya wanayo gold refinry wakati hawana hata smell of gold...you know.....
 
bil 2, yani hata tukispend $10 tukapata yenye capacity kubwa bado bi bafuu
 
hii habari ipo somewhere humu jf,in short hata wakenya wanayo gold refinry wakati hawana hata smell of gold...you know.....


Wanajua watatumia unyang'au wao na ubozo wetu kuipata dhahabu ya Tanzania kwa namna mmoja au nyingine. Hawana Tanzanite lakini ni moja ya nchi zinazofaidika sana duniani kwa Tanzanite ya kwanza ni Marekani ikifuatiwa na India halafu Kenya. Nilioona hii kitu kwenye taarifa ya habari CNN nilishangaa sana.
 
tubadilisheni uongozi jamani ili tuweze kufaidi mema ya nchi hii mweeeeeeeee
 
mungu wangu yaani huyo refinery ni dola 1.5 milioni.? tobaaaaa...............
kesho na mimi najenga bongo msiwe na wasi watanzania.
 
Back
Top Bottom