Wawekezaji Morroco Wajipanga Kuwekeza kwenye Uvuvi Baharini

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
Baadhi ya wawekezaki kutoka morroco wamefanya utafiti katika sekta ya Uvuvi na kugundua Fursa kubwa. Sasa wanajipanga kuingia Rasmi katika sekta hiyo. Hii ni kwa Mujibu wa Khalid Salum Mohammed Waziri zanzibar alipokuwa akiongea katika mkutano wa African Business Connect for Economic Partnership.

Afrika Itajitoa Kwenye Umasikini kwa Kuwekeza biashara baina ya waafrika kwa waafrika wenyewe...
Source: Moroccans eye TZ fishing industry

Kila Juhudi ambayo itasaidia hata kuongesha sumni kwa mtanzania ni nzuri na inafaa kupongezwa.
Haya ni moja ya Matunda ya Ujio wa mfalme wa Morroco nchini...
 
Back
Top Bottom