Wawekezaji huwa wanapimwa UKIMWI wanapoingia nchini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wawekezaji huwa wanapimwa UKIMWI wanapoingia nchini?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by KATIZAJI, Jun 24, 2011.

 1. KATIZAJI

  KATIZAJI Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Kuna habari kutoka Namtumbo, Ruvuma kwamaba kaburu kwa kushirikiana na kuwadi mmoja mwenyeji wamemrubuni binti mmoja na kumbaka na kumlawiti. Binti ameambukizwa UKIMWI na ni mjamzito sasa hivi! Hii imekaaje wanaJF?
   
Loading...