Wawakilishi wa Umoja wa Ulaya(EU), Umoja wa Mataifa(UN) na Mabalozi mbalimbali waendelea kufuatilia kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe

Irving Younger’s Ten Commandments

You should apply Irving Younger’s Ten Commandments of cross-examination
if at all possible.They areas follows:
a. Bebrief;
b. Use plain words;
c. Ask only leading questions;
d. Be prepared;
e. Listen carefully;
f. Don’ta rgue with witnesses;
g. Avoid repetition;
h. Limit witnesses explanations;
i. Limit questioning;and
j. Save the main point for your closing address
 
Kutoka barazani mwa Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

1hr ago·

Kwa mujibu wa Shahidi wa ACP Ramadhan Kingai (pichani), Freeman Mbowe alimuahidi Luteni Dennis Urio kuwa wakifanikisha kuchukua nchi [kwa njia ya mapinduzi] yeye Mbowe angempa nafasi kubwa.
Hata hivyo, aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais kupitia CHADEMA alikuwa Tundu Lissu. Hivyo kama CHADEMA ingeshinda, Lissu ndio angelikuwa Rais wala siyo Mbowe. Hapa kuna maswali kadhaa:
1. Kama Tundu Lissu ndiye ambaye angelikuwa Rais endapo CHADEMA wangelishinda Urais, Mbowe angewezaje kuahidi kutoa nafasi kubwa kwa watu wengine?
2. Inaonekana Mbowe [kama ushahidi wa ACP Kingai unavyodai] alikuwa tayari kupindua hata Serikali ya Tundu Lissu ili atimize ahadi yake?
3. Kuna kujikanganya kidogo katika mtiririko wa ushahidi: (a) Kuna kauli 'kuelekea Uchagauzi Mkuu'; (b) Kuna mazingira yanayoonyesha kuwa ACP Kingai alipanda cheo na kuushughulikia jambo hilo Novemba 2020, baada ya Uchagauzi Mkuu. Wakili wa Serikali hamuongozi vizuri Shahidi huyo kujibu maswali yaliyojificha, hivyo majibu yake bado yanaacha maswali mengi!
4. Kwa mantiki ya hoja ya 3 hapo juu, ni lini hasa Mbowe et al walipanga kufanya ugaidi wao? Je, ni kabla ya Uchaguzi Mkuu, kuelekea Uchaguzi Mkuu au baada ya Uchaguzi Mkuu?
5. Wakili wa Jamhuri anayemhoji Shahidi ACP Kingai hakuonekana kutilia sana maanani kipengere cha 'lini' katika hojaji yake. Hatujui kama ni makusudi, mkakati, au kupitiwa.
6. Je, hayo mambo yalikuwa kabla ya Uchaguzi Mkuu au kuelekea Uchaguzi Mkuu, Mbowe alikuwa amejua kuwa CHADEMA kitashindwa Uchaguzi Mkuu?
7. Inakuwaje Mwenyekiti wa Chama kikubwa cha upinzani nchini apange njama nzito kama hizo peke yake na Askari Jeshi mmoja wa kukodi huku Chama chake hakijui?
8. Ni Kiongozi gani wa Chama alijua mpango wa Mbowe au ni kikao gani cha Chama kilijadili kwa siri mpango huo na kilifanyika wapi na kiliwahusisha viongozi gani?
Kesi ya Mbowe na wenzake inavuta hisia za watu wengi. Mambo ndio kwanza yameanza katika Kesi hiyo ambayo ingawa haijatamkwa hivyo, lakini kwa mujibu ushahidi wa ACP Kingai, ilipaswa kuwa ni 'Kesi ya Uhaini'! Kwa kadiri ushahidi utakavyoendelea kutolewa, tutashuhudia mengi sana katika Kesi hii ya kusisimua! Endelea kutega sikio Mahakamani!
Uchambuzi wa Askofu ni mantiki (logic) ya mantiki (Reasoning of a Reason)!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Hakuna utata hapo. Ni huyu anayejiita askofu kutokujua masuala ya sheria. Bora abaki kanisani ya mahakamani waachie wataalam wake
 
Tumemualika Mungu anaye toa haki bila kuangalia makunyazi na mwisho atatowa adhabu na nyote mtaona
 
Mbona unaharaka kama cha kwanza?? kwani umefika wakati wa kutambua vielelezo?? suburi bhana uwe mpole kwanza, ukifika wakati wa kuitisha vielelezo hapo kimbia uje uanze kurukaruka hakuna shida
Vielelezo vilishatajwa mkuu kule Kisutu, vinajulikana. Hii ya madawa ya kulevya vielelezo havikuwepo
 
Mbona unaharaka kama cha kwanza?? kwani umefika wakati wa kutambua vielelezo?? suburi bhana uwe mpole kwanza, ukifika wakati wa kuitisha vielelezo hapo kimbia uje uanze kurukaruka hakuna shida
uko nyuma mno !
 
Kutoka barazani mwa Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

1hr ago·

Kwa mujibu wa Shahidi wa ACP Ramadhan Kingai (pichani), Freeman Mbowe alimuahidi Luteni Dennis Urio kuwa wakifanikisha kuchukua nchi [kwa njia ya mapinduzi] yeye Mbowe angempa nafasi kubwa.
Hata hivyo, aliyekuwa Mgombea wa Kiti cha Urais kupitia CHADEMA alikuwa Tundu Lissu. Hivyo kama CHADEMA ingeshinda, Lissu ndio angelikuwa Rais wala siyo Mbowe. Hapa kuna maswali kadhaa:
1. Kama Tundu Lissu ndiye ambaye angelikuwa Rais endapo CHADEMA wangelishinda Urais, Mbowe angewezaje kuahidi kutoa nafasi kubwa kwa watu wengine?
2. Inaonekana Mbowe [kama ushahidi wa ACP Kingai unavyodai] alikuwa tayari kupindua hata Serikali ya Tundu Lissu ili atimize ahadi yake?
3. Kuna kujikanganya kidogo katika mtiririko wa ushahidi: (a) Kuna kauli 'kuelekea Uchagauzi Mkuu'; (b) Kuna mazingira yanayoonyesha kuwa ACP Kingai alipanda cheo na kuushughulikia jambo hilo Novemba 2020, baada ya Uchagauzi Mkuu. Wakili wa Serikali hamuongozi vizuri Shahidi huyo kujibu maswali yaliyojificha, hivyo majibu yake bado yanaacha maswali mengi!
4. Kwa mantiki ya hoja ya 3 hapo juu, ni lini hasa Mbowe et al walipanga kufanya ugaidi wao? Je, ni kabla ya Uchaguzi Mkuu, kuelekea Uchaguzi Mkuu au baada ya Uchaguzi Mkuu?
5. Wakili wa Jamhuri anayemhoji Shahidi ACP Kingai hakuonekana kutilia sana maanani kipengere cha 'lini' katika hojaji yake. Hatujui kama ni makusudi, mkakati, au kupitiwa.
6. Je, hayo mambo yalikuwa kabla ya Uchaguzi Mkuu au kuelekea Uchaguzi Mkuu, Mbowe alikuwa amejua kuwa CHADEMA kitashindwa Uchaguzi Mkuu?
7. Inakuwaje Mwenyekiti wa Chama kikubwa cha upinzani nchini apange njama nzito kama hizo peke yake na Askari Jeshi mmoja wa kukodi huku Chama chake hakijui?
8. Ni Kiongozi gani wa Chama alijua mpango wa Mbowe au ni kikao gani cha Chama kilijadili kwa siri mpango huo na kilifanyika wapi na kiliwahusisha viongozi gani?
Kesi ya Mbowe na wenzake inavuta hisia za watu wengi. Mambo ndio kwanza yameanza katika Kesi hiyo ambayo ingawa haijatamkwa hivyo, lakini kwa mujibu ushahidi wa ACP Kingai, ilipaswa kuwa ni 'Kesi ya Uhaini'! Kwa kadiri ushahidi utakavyoendelea kutolewa, tutashuhudia mengi sana katika Kesi hii ya kusisimua! Endelea kutega sikio Mahakamani!
Uchambuzi wa Askofu ni mantiki (logic) ya mantiki (Reasoning of a Reason)!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Yuko vizuri sana
 
Baba MUNGU,baba wa haki,
Tunakuomba umulike jambo hili.

Kwako wewe, haki itapatikana,
Iwe leo,au kesho.

Amina.
 
Katika yote nimefurahishwa na ushahidi unaodai walipanga kukata miti na kuiweka barabara ya Morogoro kuanzia Dar es Salaam mpaka Mbeya ambako wangechoma kituo cha mafuta! Hapa nikaona ukweli kwani walikutwa na misokoto ya bangi, bila bangi isingewezekana kukata miti Dar mpaka Mbeya.
 
#UpdatesMahakamani_%0A%0AShahidi_anasema_anaitwa_ACP_Ramadhani_Kingai._%0A%0AJaji_anauliza_huy...jpg
 
Watu wamekaa wanatumia raslimali za nchi maskini ambayo uchumi wake umeporomoka na karibu theluthi mbili ya wananchi wake wanaishi chini ya dola moja ya Marekani kwa kesi ya kipumbavu ya kubumba halafu eti kuna watu wanaenda kwenye nyumba za ibada eti kumuabudu Mungu.

Nawambia dhuluma kamwe haiwezi kuinua taifa, taifa huinuliwa na haki. Dhuluma kama hizi ndio maana nchi kila uchao inazidi kuwa masikini haijalishi mna rasilimali kiasi gani. Bure kabisa.
 
Hawa walinzi wetu walivyo na akili ndogo, cross examination itakuwa ni uthibitisho wa namna hawa watu walivyokosa hata ile akili ya kawaida.

Tutakuwa na jeshi zuri tutakapobadili vigezo.

Vigezo vile vya kusema kuwa, huyu ni mtukutu, uwezo wake darasani ni mdogo, hana nidhamu, kazi inayomfaa ni upolisi, ndivyo vinavyolifanya Taifa letu kupata aibu na laana tuliyo nayo sasa.
 
Back
Top Bottom