bila bangi 😂 aiseeKatika yote nimefurahishwa na ushahidi unaodai walipanga kukata miti na kuiweka barabara ya Morogoro kuanzia Dar es Salaam mpaka Mbeya ambako wangechoma kituo cha mafuta! Hapa nikaona ukweli kwani walikutwa na misokoto ya bangi, bila bangi isingewezekana kukata miti Dar mpaka Mbeya.