Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Sasa wataijua ccm kuwa ni ileile ,Pemba kila kunapokucha kunazidi kuwa hakukaliki ni bora hawa wakakodiwa nyumba Unguja kuliko kuachwa kuishi Pemba ambako wananchi wakazi sio waliowaweka madarakani ,ni lazima Dr Sheni awawekee ulinzi hawa watu aliowekewa na jecha maana ,jamaa wa Unguja wamesikika wakisema siku wakimkamata Jecha watamtia mimba ,sijui wanazani Jecha ni mwanamke ,makubwa !