Wawakilishi Kutoka Bara la Afrika

Wawakilishi wetu walikuwa ni Taifa Stars na wameshabanduliwa kwenye mashindano sasa hatuna tena wawakilishi, huo ndio ukweli, hayo mengine ni siasa tu za kinafiki ila haimzuii mtu kuchagua nchi ya kushangilia.

Na mimi nasema hivi kamanda wanguu....ni heri wametolewa, otherwise wangetuaibisha kwenye mtoano 🤣 pata picha wakutane na Giants of Africa au hata cameroon atabaki salama! Hapana aise, heri yao wamejiwahi kabla aibu haijawapata 🤣
 
Back
Top Bottom