Wavutia Wanapendeza Kweli

Ilulu

Senior Member
Mar 22, 2008
161
31
Mary_J-Blige_Miami_Jazz_Festival.png lindsay_lohan_melanie_b_peep_show4.jpg lindsay_lohan_melanie_b_peep_show2.jpg kim-k-maxim-100-party-2.jpg Halle_Berry_Bookstore_Lunch_rue4.jpg Beyonce_Macy_Launch_heat3.jpg beyonce_bloomingdales_mama_knowles3.jpg beyonce_bloomingdales_mama_knowles.jpg Amber_Rose_Guys_Dolls.jpg Rihanna_Echo_Awards_Green_Pantsuit.jpg
 
Sijui ni macho yangu ya "kizee", maana hapo sioni anayemfikia Mariamu wa Tandale kwa Tumbo!
 
Umeishapitia huko? hata miye namjua Mariam

Mkuu wako wawili pale kwa Mzee Mwinyi, nyumba imeangaliana na Mama Ntilie. Halafu ukipandisha kidogo kama unaelekea uzuri yupo Mariamu mwingine, maji ya kunde na mrefu kiasi - huyo ndiye ninayemzungumzia hapa
 
Sijui ni macho yangu ya "kizee", maana hapo sioni anayemfikia Mariamu wa Tandale kwa Tumbo!

Mariam wako mwenyewe hapaki poda wala nini lakini yuko bomba, wenzie hapo wamejifanyia makorombwezo mpaka wametia akili ndo wametoka hivo.............
 
Mkuu wako wawili pale kwa Mzee Mwinyi, nyumba imeangaliana na Mama Ntilie. Halafu ukipandisha kidogo kama unaelekea uzuri yupo Mariamu mwingine, maji ya kunde na mrefu kiasi - huyo ndiye ninayemzungumzia hapa

Ninaye sema mimi rangi yake ni damu ya mzee na mrefu kiasi, Medium size na akitembea ni kama Nguva ndani ya bahari huyu anakaa karibu zaidi na Uzuri! Tusije gonganisha Bajaj
 
Dah! kamanda unazigonga kama Messi.
 
Chrispin usimsifie Masanilo!!!!!!!!! Kijana anahatari... Kwanza Masanilo Anakaa Mwenge Temeke anafata nini?
 
Ninaye sema mimi rangi yake ni damu ya mzee na mrefu kiasi, Medium size na akitembea ni kama Nguva ndani ya bahari huyu anakaa karibu zaidi na Uzuri! Tusije gonganisha Bajaj

Masanilo punguza mashamsham, unafanya kweli au unabipu?
 
Back
Top Bottom