brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,382
Wavutaji mkoani Mbeya wamelalamika bangi kuadimika mtaani tangu vita dhidi ya matumizi
ya dawa za kulevya ishike kasi nchi nzima. Mmoja wa wavutaji mashuhuri wa mmea huo ambaye amedai kuanza kuvuta akiwa na darasa la 6, amedai kuwa ili kuipata inawalazimu kwenda nje ya mji kwakuwa wauzaji wakubwa wamekimbia mjini. Msikilize zaidi hapo chini.
Chanzo: Bongo5