Kwa hili sikubaliani na Makonda, huwezi ku-treat Watanzania kama wewe kama wahalifu, simply because wamechagua na different style of life.
Tahadhari ziko wazi za uvutaji sigara, hata label zinasema sigara inaua, lakini wavutaji bado wameamua kuendelea kuvuta. Hawa wanalipa kodi sawa na wewe na mimi, kuvuta sigara siyo uhalifu, ndiyo sababu govt inakusanya kodi na viwanda vya sigara vipo kihalali. Sababu gani kuwanyanyasa?
Suala ilikuwa tu kuwafahamisha kwamba yawepo maeneo maalum kwa wao kuvuta sigara. Ni vile vile kwa wavuta shishi. Mtu amekwenda kwenye hotel ama eneo lolote linaloruhusu shishi, kwani kuna kosa gani la jinai hapo?
Kama ilivyo kwa sigara, na wavuta shishi ni hivyo hivyo, wameamua kuvuta pamoja na kujua madhara yake. Upande wa mashoga nalo hivyo hivyo, waache waishi kwa amani. As long what the gays do is done privately, not publicly, wamekukosa nini? Tusitake kufanya maisha ya wengine kuwa magumu unnecessarily, simply because unaweza kusema na kufanya chochote.
Kuna mambo ya msingi ya kuyasimamia na kuyapigania ambayo yana madhara makubwa kwa wengi, siyo ya kunyanyasa watu walioamua kuwa na style nyingine ya maisha. Wavuta sigara wawe na maeneo yao maalum, ni suala la maelekezo tu.
Hebu tutumie muda wetu mwingi kujadili jinsi ya kuwaondoa watu kwenye dimbwi la umasikini na siyo kupekela nguvu nyingi kwa masuala yasiyo na msingi.
Makonda should respect all residents of DAR regardless of their choice of life style or sexuality. Hakuna kosa la jinai hapo.