Wavulana wengi hawawezi kudumu na mpz mmoja.

twenty2

JF-Expert Member
May 20, 2011
296
32
ni kweli wavulana wengi hawadumu na msichana mmoja kwasababu wanaona ukiwa na mpz mmoja ni ushamba na anakuwa ajakamilika means sio kidume cha mbegu lakini akiwa nao wengi ndio kdume cha mbegu,lakini mm naona ni ushamba wa mapenzi.
 
Inapendeza kuwa na mpenzi mmoja halafu inapunguza probability ya kukumbwa na magonjwa ya zinaa (STDs). Kinachowafanya wavulana wengi kulala mbele ni pale mabinti hao warembo wanapowafanya shamba la Babu, wanakinga sana mkono kiasi kwamba hizo invoice hazilipiki. Hatimaye wavulana huamua kutafuta mwingine mgeni naye akianza kukinga sana mkono anaachwa accordingly.

Staili hii inaitwa Chipolopolo styale yaani Chipolopolo (Yule ndege wa Zambia Hajengi kibanda).
 
Ni kasumba na tamaa ikichagizwa na kutokuwa na hofu ya Mungu ndiyo kunaleteleza hiyo kitu ya wanaume kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja. Na siyo wanaume tu hata baadhi ya wanawake hujikuta wakiwa na mpenzi zaidi ya mmoja kwa sababu nilizoainisha hapo juu na nyinginezo mf. baadhi ya makabila kuendekeza tamaduni ya mafiga matatu, kucheza ngoma n.k
 
unashauli nn kwa il?ndio baadhi ya wanawake wapo lakini point inabaki bado wavulana wanaongoza...
 
Inapendeza kuwa na mpenzi mmoja halafu inapunguza probability ya kukumbwa na magonjwa ya zinaa (STDs). Kinachowafanya wavulana wengi kulala mbele ni pale mabinti hao warembo wanapowafanya shamba la Babu, wanakinga sana mkono kiasi kwamba hizo invoice hazilipiki. Hatimaye wavulana huamua kutafuta mwingine mgeni naye akianza kukinga sana mkono anaachwa accordingly.

Staili hii inaitwa Chipolopolo styale yaani Chipolopolo (Yule ndege wa Zambia Hajengi kibanda).
ni kweki inapunguza magonjwa lakin kwa nn bado iyo ali inaendelea na kauli mbiu yao n kidume cha mbegu,unashauli nn kwa ilo?
 
ni kweli wavulana wengi hawadumu na msichana mmoja kwasababu wanaona ukiwa na mpz mmoja ni ushamba na anakuwa ajakamilika means sio kidume cha mbegu lakini akiwa nao wengi ndio kdume cha mbegu,lakini mm naona ni ushamba wa mapenzi.
Mbona mimi naweza?
 
ni bora kuishi bila mpenzi unakuwa safe zaidi kiakili kipesa na kimawazo!! kwani haya mambo yanaulazima Gani.after ku do what next? labda kama wataka watoto ndio u do tu,. aha!!
 
Wapo wenye matatizo ya kufikiri ya namna hii,lakini ukijua heshima yako,hauwezi kufanya mambo ambayo anatakiwa kufanya mbuzi ambae hajui kipi ni kipi!
 
na kweli ukiona kijana ametulia na mpenzi mmoja ujue kalogwa au kakaliwa kifedha,kimawazo na mpenziwe
 
ni kweli wavulana wengi hawadumu na msichana mmoja kwasababu wanaona ukiwa na mpz mmoja ni ushamba na anakuwa ajakamilika means sio kidume cha mbegu lakini akiwa nao wengi ndio kdume cha mbegu,lakini mm naona ni ushamba wa mapenzi.
Wavulana si vitoto vidogo vinavyopevuka ktk mapenz? Vile vi NJUKA VYA MAPENZI aka CHIPUKIZI WA MALAVIDAVI? Hawawezi kudumu kweli..
 
ni kweli wavulana wengi hawadumu na msichana mmoja kwasababu wanaona ukiwa na mpz mmoja ni ushamba na anakuwa ajakamilika means sio kidume cha mbegu lakini akiwa nao wengi ndio kdume cha mbegu,lakini mm naona ni ushamba wa mapenzi.

Ebu tuelekeze msichana anayekaa na mvulana mmoja siku hizi ndio uwaseme wavulana, na kwanza kwanini wavulana na wasichana manake term hii huwa inatumika kwa under 20 muda ambao ni wa shule sio mapenzi!
 
ni kweli wavulana wengi hawadumu na msichana mmoja kwasababu wanaona ukiwa na mpz mmoja ni ushamba na anakuwa ajakamilika means sio kidume cha mbegu lakini akiwa nao wengi ndio kdume cha mbegu,lakini mm naona ni ushamba wa mapenzi.

Na wanawake wenye kutupanga, ni vijike mbegu? Hapa kila jinsia inachit tu. Upo biased
 
nadhani ,ni tamaa ya fisi ,kumfata binaadamu ,kusubiria mkono uanguke apate chakula'' bcz ana hisi kwanini niji lock na demu huyu,? na pengine ata pata zaid ya yule kiuzuri ,
 
kuwa na mwanamke mmoja inawezekana sana ni uamuzi wa mtu mwenyewe na mtazamo wake katika maisha
the way the person value love and life
 
Back
Top Bottom