Wavulana wanapotoka na walimu wao shuleni kosa la nani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wavulana wanapotoka na walimu wao shuleni kosa la nani?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzee Mwanakijiji, Oct 24, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kuna kasheshe hapa kijijini ambapo mwalimu wa kike miaka 26 anadaiwa kutoka na mwanafunzi wake wa miaka 15. Mjadala mkubwa uliokuwepo unahusiana kosa ni la nani?

  Kuna watu wanasema kuwa hivi "vivulana" huwa havichelewi kuonesha kumtamani mwalimu kijana na wakati mwingine hata kumtokea "live" na hivyo kumuingiza mwalimu majaribuni;

  wengine wanasema walimu vijana wanajisahau kuwa wao ni walimu na huwa wanavaa na kuwa na kujishaua kwa "vivulana" na katika utani utani mara wanaanza "improper relationship"?

  Hivi ni kitu gani hasa kitachangia uhusiano kati ya mwanafunzi mdogo mvulana na mwalimu mwanamke? Je, walimu wanawake wachukuliwe na kuadhibiwa kama ilivyo kwa wanaume wanaotembea na wanafunzi wadogo wasichana - kama statutory rape n.k?


  [h=1]High school band teacher 'had sex with student, 16, more than 20 times in two months'[/h] By Paul Thompson

  Last updated at 4:14 PM on 19th October 2011
  A school band teacher has been jailed for statutory rape after admitting having sex with a 16-year-old student
  Devri Ann DePriest was recorded on tape confessing to the underage sex and sleeping with the High School student at least 20 times over a two month period.

  Police in Gallatin, Tennessee, secretly recorded the 25-year-old talking with her former lover after they launched an investigation into their relationship.
  Scroll for video of DePriest singing on YouTube


  [​IMG] Tennessee band teacher Devri Ann DePriest, 25, was arrested and charged with statutory rape after allegedly having sex with a student, 16, at least 20 times

  DePriest was also recorded talking to the teen's mum in a 'sting operation' staged by police in Gallatin.
  'During this call the defendant made additional incriminating statements admitting to her sexual relationship with the victim,' said an arrest affidavit.
  DePriest worked at Rucker-Stewart Middle School in the small town but was assisting staff at the High School with their band programme when the alleged crime took place.
  The relationship with the boy, who went to the town's High School, came to light after he told his parents.
  Sgt. Bill Storment of the Gallatin Police Dept said the relationship took place from September to November 2010.

  [​IMG] DePriest was busted by police after supposedly confessing to the crimes on a phone call with the teen's mother

  'I don't know if the relationship or the friendship or interaction between the student and the teacher lasted beyond that three month period,' said Storment.
  The teen, now 17, came forward with his mother to police on Monday.
  Storment added: 'I don't know if the mother found out accidentally or if he revealed it to her.'
  Jeremy Johnson, director of schools in Sumner County, said DePriest has been 'suspended without pay pending the outcome of the criminal case against her.'
  Cedric Campbell, a parent who has son at Rucker-Stewart Middle School said he was shocked to hear of DePriest's arrest.

  [​IMG] Following her arrest the band teacher has been suspended without pay from her Tennessee middle school

  'This is the first time we've had any type of situation like this,' said Campbell.
  'It's shocking because most of the teachers I know, this is not indicative of the way they react and do things.'
  DePriest has previously worked as a student teacher at both McGavock High School in Nashville and DuPont Tyler Middle School in Hermitage,

  On her Twitter page she writes of herself 'i'm awesome. i love the french horn. i teach lil kiddos to play instruments.'
  She also has a YouTube channel with videos of her playing instruments and singing.

  DePriest is scheduled to appear in court in December after being charged with having inappropriate relations with a student.
  She was released from jail after posting a $15,000 bond.

  HABARI ZAIDI ZA WALIMU NA WANAFUNZI KATIKA MAHUSIANO YA NGONO
   
 2. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  It is obvious kwamba ni case ya Child sexual abuse (including a sexual harassement dimention)
  Child: mtu wowote chini ya miaka 18 (boy or girl)
  Sexual: inahusisha ngono
  Abuse: perpetrator ana miaka zaidi ya 18 and to make it worse ametumia power yake kama mwalimu kuipata unlit consent ya huyo kijana. Kijana angekataa vipi?
  Position ya mwalimu imempa advantage (in a negative sence) ya kumlazimisha, au kumshawishi mtoto wa watu.
  Kwa hiyo mimi ningekua judge, ningemhukumu kama wanavo hukumiwa males counterparts, na angelipa fees za rehabilitation kwa mtoto huyo ambae, naamini, amekua exposed, too soon and in a bad way, to a reality that is not of his age.
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  honestly kama niko 15 na mdada teacher wa kike 'ananiangukia'....
  that could be the best memory of school...lol
   
 4. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hahahahaha, shame on you!
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Whether mwalimu amejishaua au mwanafunzi amemtokea mwalimu sio kisingizio cha kutosha mmoja kujiingiza kwenye mahusiano na mwenzake. Makosa yameanza pale mmoja alipopata ujasiri wa kumtamkia mwenzake na huyo mwingine alipokubali.


  Binafsi lawama zangu zinaanzia moja kwamoja kwa mwalimu kwasababu kati yao wawili yeye ndio mtu mzima...she should have known better. Kumtaka au kumkubali kimapenzi mwanafunzi wake wa umri chini ya miaka 18 ni kosa lisilo na kisingizio.
  Huyo mwanafunzi nae si ahangaike na vijana wenzake jamani....KHAAAA!
   
 6. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nimekukubali RR na idea zako. Ila kitu kimoja sijakikubali 100% kwamba 15 yr old boy amekuwa exposed too soon!! Ushaona vijana wa miaka 15 walivyo siku hizi?? Chunguza vizuri utabaini!
   
 7. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  moyo wa mwl ulimdooondokea kijana
   
 8. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ni kweli siku hizi vijana wa 15 wanajua mengi sana ila katika kutenda, most of the time wanatenda na wenzio wa miaka hizo hizo. It is not ideal, ila at least kuna ka learning curve fulani... hakuna anae muonea mwenzie. they are all exploring their bodies etc.
  Sasa huyo mama wa 25 afanye mapenzi na mtoto wa 15, anaweza kumwambia vitu vingi ambavyo vingine sio "mapenzi" bali ni exploitation na akamwambia kua ni ya kawaida kabisa. huyo mtoto hana hekima ya kujua ni kipi kiko sawa kwake na kwa vile mwalimu kasema atafanya tu. more than 20 times in 2 month is an average for some couples... huyo mtoto kawa exposed to a rythm certain people only experience in their 25...
   
 9. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2011
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mmomonyoko wa maadili
   
 10. k

  kisukari JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,764
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  na wewe nawe.mmmh.vibaya hivyo
   
 11. k

  kisukari JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,764
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  kosa ni la mwalimu,amei abuse kazi yake,maybe huyo kijana alikwa na just a crush kwa mwalimu{huwa inatokezea}.angejichukulia huyo ni mwanafunzi,kama wanafunzi wengine.nchi za wenzetu,na kazi mwalimu unafukuzwa.kwani kwa wazazi wanaweka trust kwa walimu
   
 12. Shemzigwa

  Shemzigwa JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2011
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Walimu watam wacha2 hasa pale anapo mwaga chaki anavyo tikisa mie hoi
   
 13. M

  Mwana wa Kitaa Member

  #13
  Oct 25, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ni kutojali tu mtoto wa mwenzio, huyu teacher kakosa wa umri wa kwake hadi amsoteshe student wake? Nadhani ifikie wakati kuwe kunakua na ukaguzi wa kushtukiza kwa hawa waalimu, haswa kwenye upande wa mavazi coz unakuta ka mwalimu kanafundisha huku katinga kimini. Na kwa kuwa hisia hazivumiliki inapelekea boys kuanza kum approach yule teacher insteady of learning.
   
 14. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Hkuna kosa la mtu yoyote, ni chemistry ya mapenzi tu hio ndio ya kulaumiwa.
   
 15. Mapondela

  Mapondela JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2011
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 457
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hata kama, sheria inasema hivi miaka 15 ni mtoto kwa hiyo hafikiriwi kufanya maamuzi sahihi, hivyo mtu mzima ni jukumu lako kumurekebisha na kumkataza pale anapofanya maamuzi mabaya kama hayo ya kusoma na kufanya mapenzi.
   
 16. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kosa ni la mwalimu; mwanzo, mwisho, katikati na pembeni
   
 17. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hapo lzm hukumu imwangukie mwalim coz mwanafunzi akiwa shulen mwalimu ana nafasi ya mzazi sasa km mwalimu wa kike ataendekeza tamaa zake kwa watoto ile hali wakubwa wenzie wapo anastahili kuhukumiwa km wanavyohukumiwa waalimu wa kiume wanapothibitika kufanya mapenz na wanafunzi wa kike.
   
 18. l

  lmakilu Member

  #18
  Oct 26, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes, tunaweza tukamlaumu mwalimu au mwanafunzi lakini turudi nyuma tuangalie chanzo chake ni nini? Kwa kifupi ni maadili kuporomoka kwa sababu mbalimbali, nakubaliana na tausi kwa sas a vijana wa 15 wanafqnyq mambo ya watu wa 25 na wazazi tunashangilia huku tukisema vijana wa sasa akili zao ziko sharp. Likitokea kama hili ndipo akili inakurudia kuwa mtoto wako amedharirishwa.
  Tubadirike jamani!
   
 19. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #19
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  hapo kosa ni la mwalimu, pia wazazi wanatakiwa wawape maadili mema watoto wao wasifanye kitu cha namna hiyo
   
 20. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #20
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Mwl aliacha kujiheshimu; alaumiwe; hapa chukulia huyu ni mwanao unafikiri atakuwa amemuharibu kiakilia kwa kiasi gani?
   
Loading...