Wavulana siku hizi hawajui Kutongoza. Wanachefua sana

Yaani badala ya kuelezea sera anajielezea yeye.... Oooohh.... Na hilo umbo lako nikikukamata masaa mawili.... Oooh mimi nina mashine kubwa uta enjoy....

Chefuuuu.... Ni ujinga tu unakaangalia kamtu kenyewe unakaona kanalamba lamba lips na kamepaka lip stick n.k kamerendemka kama kanashindia mlenda.

Kuna wanawake wanaotaka hayo mambo ambao wameshakubuhu siyo wote. Dk 30 za nini kwenye kufanya mapenzi? 4 mpaka 10 zanitosha. Nakuwa nime enjoy na mwenzangu ame enjoy. Ninyi vijana mnadanganyana sana na pornographic.

Mi nawadharau sana hawa watoto ambao wakishaona una mwili wanadhani wanaweza kuja kukushawishi kipuuzi namna hiyo. Watafuteni akina Mwajuma Kidude au Mwantumu Chausiku ndo muwaambie maneno hayo. Siyo sisi wengine hizo si sera zetu.

Halafu kuja unamtongoza mwanamke unachezea chezea funguo za gari ni ushamba. Si wengine tumekua na magari wala huhitaji gari kutupata.

Nimeshasema sasa. Utanifanya nini? Nyooooooo.....
Emoji zimewaharibu
 
Mi huwa nachezesha funguo za ndege sio huto tugari twao njoo kwangu..hata dk 1 huwa simalizi wazungu tayari.
 
Ukiona unatongozwa na vijana wa ovyo basi unapaswa ukae chini ujitafakari.

Kuna uwezekano ukawa wa ovyo pia. Daima kijana wa ovyo hawezi kuthubutu kumsogelea mtu na staha zake.

Pengine unachojinasibu nacho ni hilo umbo tu (pengine pia huna umbo lenyewe) kupelekea kuwa maudhui pekee katika kutongozwa kwako.

Waswahili husema 'waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba'.
asipokuelewa basi kichwa chake kina shida
 
Yaani badala ya kuelezea sera anajielezea yeye.... Oooohh.... Na hilo umbo lako nikikukamata masaa mawili.... Oooh mimi nina mashine kubwa uta enjoy....

Chefuuuu.... Ni ujinga tu unakaangalia kamtu kenyewe unakaona kanalamba lamba lips na kamepaka lip stick n.k kamerendemka kama kanashindia mlenda.

Kuna wanawake wanaotaka hayo mambo ambao wameshakubuhu siyo wote. Dk 30 za nini kwenye kufanya mapenzi? 4 mpaka 10 zanitosha. Nakuwa nime enjoy na mwenzangu ame enjoy. Ninyi vijana mnadanganyana sana na pornographic.

Mi nawadharau sana hawa watoto ambao wakishaona una mwili wanadhani wanaweza kuja kukushawishi kipuuzi namna hiyo. Watafuteni akina Mwajuma Kidude au Mwantumu Chausiku ndo muwaambie maneno hayo. Siyo sisi wengine hizo si sera zetu.

Halafu kuja unamtongoza mwanamke unachezea chezea funguo za gari ni ushamba. Si wengine tumekua na magari wala huhitaji gari kutupata.

Nimeshasema sasa. Utanifanya nini? Nyooooooo.....
Mimi niliwaambia humu jukwaani, dakika 20 zote kifuani kwa mwanamke unatafuta nini? Wakaniambia nisiwapangie. Afadhari umezungumza, na waaipokuelewa hapa basi waachane na mapenzi wafanye mambo mengine

Kama wote tungelifuata hii principle, kusingekuwa na haja ya kuhangaika na madawa ya nguvu za kiume mtandaoni, "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa'

Tuacheni kuwachosha wanawake wa watu
 
Back
Top Bottom