Wavulana siku hizi hawajui Kutongoza. Wanachefua sana

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
26,963
39,746
Yaani badala ya kuelezea sera anajielezea yeye.... Oooohh.... Na hilo umbo lako nikikukamata masaa mawili.... Oooh mimi nina mashine kubwa uta enjoy....

Chefuuuu.... Ni ujinga tu unakaangalia kamtu kenyewe unakaona kanalamba lamba lips na kamepaka lip stick n.k kamerendemka kama kanashindia mlenda.

Kuna wanawake wanaotaka hayo mambo ambao wameshakubuhu siyo wote. Dk 30 za nini kwenye kufanya mapenzi? 4 mpaka 10 zanitosha. Nakuwa nime enjoy na mwenzangu ame enjoy. Ninyi vijana mnadanganyana sana na pornographic.

Mi nawadharau sana hawa watoto ambao wakishaona una mwili wanadhani wanaweza kuja kukushawishi kipuuzi namna hiyo. Watafuteni akina Mwajuma Kidude au Mwantumu Chausiku ndo muwaambie maneno hayo. Siyo sisi wengine hizo si sera zetu .

Halafu kuja unamtongoza mwanamke unachezea chezea funguo za gari ni ushamba. Si wengine tumekua na magari wala huhitaji gari kutupata.

Nimeshasema sasa. Utanifanya nini? Nyooooooo.....
Aisee una takoooooo
 
Lighton

JF-Expert Member
Aug 5, 2019
573
1,050

Sasa mbona sioni uhusiano wa kichwa cha habar na mada husika!

Naona hata mods wameshindwa kulitambua hili! Anyway ngoja niishie hapa.
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,387
17,390
Shidaa mmekuwa cheap Sana kwahio huyu akisema katongoza dk 3 kagongwa na mwigineanagongwa same style
waonye wakomae Zaman ni 5 bk APOKEIm2
leohii bk 3 anaikagua kama kocha wa NGADA fc na ahsante juu
 
pwilo

JF-Expert Member
May 27, 2015
7,222
7,634
Yaani badala ya kuelezea sera anajielezea yeye.... Oooohh.... Na hilo umbo lako nikikukamata masaa mawili.... Oooh mimi nina mashine kubwa uta enjoy....

Chefuuuu.... Ni ujinga tu unakaangalia kamtu kenyewe unakaona kanalamba lamba lips na kamepaka lip stick n.k kamerendemka kama kanashindia mlenda.

Kuna wanawake wanaotaka hayo mambo ambao wameshakubuhu siyo wote. Dk 30 za nini kwenye kufanya mapenzi? 4 mpaka 10 zanitosha. Nakuwa nime enjoy na mwenzangu ame enjoy. Ninyi vijana mnadanganyana sana na pornographic.

Mi nawadharau sana hawa watoto ambao wakishaona una mwili wanadhani wanaweza kuja kukushawishi kipuuzi namna hiyo. Watafuteni akina Mwajuma Kidude au Mwantumu Chausiku ndo muwaambie maneno hayo. Siyo sisi wengine hizo si sera zetu .

Halafu kuja unamtongoza mwanamke unachezea chezea funguo za gari ni ushamba. Si wengine tumekua na magari wala huhitaji gari kutupata.

Nimeshasema sasa. Utanifanya nini? Nyooooooo.....
Mbona nakupigia hupatikani ndo ume ni block tayari
 
Ahmras

Member
Sep 26, 2017
32
21

Amekusikia Dada.
Amekoma huyo, harudii tena.
 
pilato93

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
5,961
5,773

Sasa ungemwambia ili ajifunze si unajua elimu haina mwisho
 
TheMnyonge

JF-Expert Member
Mar 25, 2022
521
1,111
Yaani badala ya kuelezea sera anajielezea yeye.... Oooohh.... Na hilo umbo lako nikikukamata masaa mawili.... Oooh mimi nina mashine kubwa uta enjoy....

Chefuuuu.... Ni ujinga tu unakaangalia kamtu kenyewe unakaona kanalamba lamba lips na kamepaka lip stick n.k kamerendemka kama kanashindia mlenda.

Kuna wanawake wanaotaka hayo mambo ambao wameshakubuhu siyo wote. Dk 30 za nini kwenye kufanya mapenzi? 4 mpaka 10 zanitosha. Nakuwa nime enjoy na mwenzangu ame enjoy. Ninyi vijana mnadanganyana sana na pornographic.

Mi nawadharau sana hawa watoto ambao wakishaona una mwili wanadhani wanaweza kuja kukushawishi kipuuzi namna hiyo. Watafuteni akina Mwajuma Kidude au Mwantumu Chausiku ndo muwaambie maneno hayo. Siyo sisi wengine hizo si sera zetu.

Halafu kuja unamtongoza mwanamke unachezea chezea funguo za gari ni ushamba. Si wengine tumekua na magari wala huhitaji gari kutupata.

Nimeshasema sasa. Utanifanya nini? Nyooooooo.....
Nimecheka sana, nilitaka kukuandikia inbox ila umefunga PM bhana, hapo nimeguzunika mnoooo!
 
franklewis

Member
Oct 30, 2022
14
23
Yaani badala ya kuelezea sera anajielezea yeye.... Oooohh.... Na hilo umbo lako nikikukamata masaa mawili.... Oooh mimi nina mashine kubwa uta enjoy....

Chefuuuu.... Ni ujinga tu unakaangalia kamtu kenyewe unakaona kanalamba lamba lips na kamepaka lip stick n.k kamerendemka kama kanashindia mlenda.

Kuna wanawake wanaotaka hayo mambo ambao wameshakubuhu siyo wote. Dk 30 za nini kwenye kufanya mapenzi? 4 mpaka 10 zanitosha. Nakuwa nime enjoy na mwenzangu ame enjoy. Ninyi vijana mnadanganyana sana na pornographic.

Mi nawadharau sana hawa watoto ambao wakishaona una mwili wanadhani wanaweza kuja kukushawishi kipuuzi namna hiyo. Watafuteni akina Mwajuma Kidude au Mwantumu Chausiku ndo muwaambie maneno hayo. Siyo sisi wengine hizo si sera zetu.

Halafu kuja unamtongoza mwanamke unachezea chezea funguo za gari ni ushamba. Si wengine tumekua na magari wala huhitaji gari kutupata.

Nimeshasema sasa. Utanifanya nini? Nyooooooo.....
mungu akubariki
 
Kadhi Mkuu 1

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
14,031
12,861

Pole, mimi siyo kijana ila siku hizi hawatongozi wanauliza tuu "bei gani"!
Unaonaje hii iko sawa?
 
40 Reactions
Reply
Top Bottom