Apollo
JF-Expert Member
- May 26, 2011
- 4,920
- 3,221
Inawezekana ndo Uhuru wakujiamulia mambo, Inawezekana ndio maendeleo ya Binadamu wa leo. Lakini hata hayana mantiki. Ni uigaji mamboleo!! Kila binadamu katika uso wa dunia hii ana utamadani wake na mazingira yake unapoacha utamaduni wako na kufuata wa mtu mwingine pasipo sababu ni ufinyu wa mawazo. Na hasa hasa kwa wale tunaomfuta Yesu basi ni dalili kuwa yuko karibu kuja. Maana biblia imeandika mtakapoyaona hayo mjue karibu nitarudi.
kwani suala la wanaume kujitoboa limeanza leo? Lilianza hata kabla ya kuja kwa yesu. Endelea kusubiri kuwa yesu atakuja. Uza kila ulichonacho then uwape masikini.