Wauzaji wa vyombo vya muziki Zanzibar kujeni hapa

Glenn

JF-Expert Member
May 23, 2015
67,938
162,126
Bila shaka mu wazima wakuu,
Kama kichwa cha somo cha jieleza naomba wauzaji wa vyombo vya muziki(music instruments) walioko zanzibar hasa key boards na booster tuonane hapa tafadhali.
Nakaribisha wengine wenye uzoefu na ununuzi wa vyombo hivi hasa Zanzibar.
Asanteni
 
Back
Top Bottom